Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Azam FC imefunga rasmi usajili wake wa msimu ujao, kwa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon, Alain Thierry Akono Akono.
Akono anajiunga na timu hiyo inayomilikiwa na Alhaj Shekh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake kama mchezaji huru kufuatia kumaliza mkataba wake Fortuna Du Mfou ya kwao.
Akono tayari ameshasaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia timu hiyo tangu wikiendi iliyopita baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Alain Thierry Akono Akono ajiunga na Azam FC kutoka Fortuna Du Mfou ya Cameroom
Mshambuliaji huyo amekuwa tegemeo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), anakuja Azam FC kuongeza nguvu katika eneo hilo.
Wakati huo huo: Nahodha wa Azam FC, Aggrey Morris, amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu hiyo.
Nahodha Aggrey Morris amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja Azam FC
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/32jEeh2
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms