Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Ibrahim Hamad Ahmada 'Hilika' kutoka Zimamoto ya Zanzibar.
Hilika anacheza nafasi ya ushambuliaji, mfungaji bora mara mbili ligi kuu Zanzibar msimu 2019/2020 na 2016/2017, Pia amewahi kuibuka mfungaji bora katika kombe la Mapinduzi Cup.
Hilika almaarufu striker wa nchi amesaini mkataba wa miaka miwili kukitumikia kikosi cha wana tam tam.
Mtibwa Sugar imemsajili mshambuliaji Ibrahim Hamad 'Hilika' kutoka Zimamoto ya Zanzibar
Hilika pia ni mchezaji tegemeo katika kikosi cha Zanzibar Heroes, Huu ni usajili wetu wa nane na mwisho kuelekea msimu wa 2020/2021.
Wengine wapya Mtibwa Sugar ni Abubakar Ame Omar AbalKassim Khamis, Baraka Gamba Majogoro, George Makanga, Geofrey Luseke na Hassan Kessy Ramadhan.
Wakati huo huo: Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa 6-2 dhidi Kombaini ya Gairo katika mchezo kirafiki Uwanja wa CCM Gairo.
Mabao ya Mtibwa Sugar leo yamefungwa na Boban Zirintusa, Ibrahim Hilika mawili kila mmoja na Abdul Haule moja.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/34NKGzv
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms