HATIMAYE Nahodha, Pierre-Emerick Aubameyang amesaini mkataba mpya mnono wa kuendelea na kazi Arsenal, jambo ambalo ni habari njema kwa kocha Mikel Arteta kwenye harakati zake za kurejesha makali ya timu hiyo.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amesaini mkataba mpya wa hadi mwaka 2023, ambao atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 250,000 kwa wiki.
Lakini pato lake la jumla kwa wiki linaweza kuongezeka hadi Pauni 350,000 ikijumlishwa na posho, hivyo kuwa mchezaji anayelipwa zaidi kikosini, akimpiku hadi Mesut Ozil.
Nahodha, Pierre-Emerick Aubameyang amesaini mkataba mpya hadi mwaka 2023 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Gabon, Aubameyang alijiunga na Arsenal Januari 2018 kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 56 kutoka Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao 72 katika mechi 112.
Na tangu Arteta apewe ukocha wa Arsenal mwezi Desemba mwaka jana, Aubameyang amekuwa katika kiwango cha juu mno na kuisaidia timu kushinda Kombe la FA, hivyo kukata tiketi ya kucheza Europa League na Ngao ya Jamii.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/32yTszP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AUBAMEYANG ASAINI MKATABA MPYA MNONO ARSENAL HADI 2023. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/09/aubameyang-asaini-mkataba-mpya-mnono.html. Terimakasih atas perhatiannya.