Na Asha Kigundula, DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya StarTimes imetangaza kuanza kurusha moja kwa moja Michuano ya ligi kuu ya soka nchini Hispania (La Liga) kwa lugha ya Kifaransa kuanzia msimu huu wa 2020/21 kupita Chanel ya Sports Premium.
StarTimes imekuja na Kampeni ya 'Soka Limenoga' ambapo pia wataendelea kuonyesha michuano ya Uefa National League, Uefa Europa League, FA Emirates Cup, Coppa Italia, Copa Del Rey na Ngao ya Jamii nchini Uiengereza kama kawaida.
Meneja wa Masoko wa StarTimes, David Malisa amesema La Liga ndio ligi bora katika miaka 10 iliyopita mpaka sasa ndio maana imefanikiwa kutoka wachezaji bora wa dunia kwa muda huo wote hivyo wameamua kuwapa burudani wateja wao.
"StarTimes tumekuja na kampeni ya 'Soka Limenoga na msimu huu tutarusha ligi kuu ya soka nchini Hispania ambayo ndio ligi bora kwa sasa duniani katika miaka 10 mfululizo," alisema Malisa.
Kwa upande wake mchambuzi wa Soka, Shaffih Dauda alisema ligi ya Hispania inacheza soka maridadi lenye matumizi mazuri ya akili kuliko nguvu (Sex football) naamini Watanzania watashuhudia ligi bora dunia.
Nae Saleh Ally aliema StarTimes inarusha matangazo yake kwa muono ang'avu (HD) kitu ambacho kinaongeza radha ya kutazama soka ukilinganisha ving'amuzi vingine.
Jana saa 3 usiku StarTimes itarusha mchezo mkali wa Uefa National League kati ya Ujerumani dhidi ya Hispania kupitia World Football kwa malipo ya shilingi 20,000 kwa Antena na shilingi 21,000 kwa wenye Dish
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2EYQkUD
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms