NYOTA Muargentina, Lionel Messi jana amecheza mechi yake ya kwanza Barcelona tangu jaribio lake la kuondoka lizimwe.
Messi mwenye umri wa miaka 33 aliingia dakika ya 46 kuchukua nafasi ya mshambulaji Mdenmark Martin Braithwaite, Barcelona ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Gimnastic de Tarragona katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Johan Cruyff mjini Sant Joan DespĂ.
Mabao ya Barcelona ambayo sasa ipo chini ya kocha Mholanzi, Ronald Koeman yalifungwa na Ousmane Dembele dakika ya tano, Antoine Griezmann dakika ya 17 kwa penalti na Phillipe Coutinho dakika ya 51 kwa penalti pia, wakati bao pekee la Gimnastic de Tarragona lilifungwa na Javier Bonilla dakika ya 30.
Lionel Messi jana amecheza kwa dakika ya 45 Barcelona ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Gimnastic Tarragona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3bQw1oQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MESSI ATOKEA BENCHI BARCELONA YASHINDA 3-1 MECHI YA KIRAFIKI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/09/messi-atokea-benchi-barcelona-yashinda.html. Terimakasih atas perhatiannya.