Na Asha Said, DAR ES SALAAM MTENDAJI Mpya wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez, amesema anatarajia makubwa ndani ya klabu hiyo kubwa likiwa kubeba mataji yote waliyopata msimu uliopita. Akizungumza mara baada ya kutambulishwa kwa waandishi wa habari na Mwenyekiti wa bodi ya Simba Mohammed Dewji, Gonzalez alisema kuwa kutokana na uzoefu aliokuwa nao ndani ya klabu ya Simba ana matumaini ya kufanya makubwa .
Alisema mara baada ya kupewa nafasi ya kukaimu akiweza kujifunza mengi, hivyo hana ugeni wa utendaji.
"Nina haidi makubwa simba, ikiwa ni pamoja ya kutetea makombe yote tuliyochukuwa msimu uliopita, kikubwa ushirikiano wa wanachama, mashabiki na wadau wote wa Simba kwa ujumla" alisema Gonzalez.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2ZbsFYq
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms