NYOTA Jamal Murray na Nikola Jokic Alfajiri ya leo wameiongoza Denver Nuggets kutinga Fainali ya Western Conference kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009 baada ya kuichapa Los Angeles Clippers 104-89 kwenye Game Ligi ya mpira wa kikapu Marekani na sasa watakutana na Los Angeles Lakers.
Murray amefunga pointi 40, Jokic akapiga triple-double quarter ya tatu na kwa mara nyingine Denver ikiweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya NBA kihistoria kutoka nyuma kwa series 3-1 na kushinda mara mbili katika msimu mmoja.
Kwa ujumla, kihistoria The Nuggets inakuwa timu ya tatu Marekani kwenye michezo mikubwa kutoka nyuma kwa 3-1 mara mbili katika playoffs moja na kushinda, ikiungana na Kansas City Royals 1985 na Minnesota Wild mwaka 2003.
Nikola Jokic na Jamal Murray wa Denver Nuggets wakipongezana kwa ushindi dhidi ya LA Clippers PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nayo Miami Heat imeifunga Boston Celtics 117-114 katika Game 1ya fainali ya Eastern Conference – kwa mchango mkubwa wa Jimmy Butler na Bam Adebayo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/35GCO3b
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NUGGETS YAICHAPA LA CLIPPERS 104-98, YATNGA FAINALI WEST. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/09/nuggets-yaichapa-la-clippers-104-98.html. Terimakasih atas perhatiannya.