MUINGEREZA Anthony Joshua (31) usiku wa jana ametetea mataji yake ya WBA, WBO, IBF and IBO baada ya kumshinda Mbulgaria, Kubrat Pulev kwa Knockout (KO) raundi ya tisa katika pambano la uzito wa juu mbele ya mashabiki 1,000 Uwanja wa Wembley Jijini London.
Baada ya kushinda pambano la 25 kati ya 26 aliyocheza, akiwa amepigwa moja tu – sasa Joshua anaweza kupanda ulingoni kupigana na Muingereza mwenzake, bingwa wa WBC Tyson Fury katika pambano la kuunganisha mataji.
Joshua alikuwa anapigana kwa mara ya kwanza tangu arejeshe mataji yake hayo Saudi Arabia Desemba mwaka jana akimshinda Mmexico, Andy Ruiz Jr kulipa kisasi cha Juni 2019, wakati, Pulev (39), aliyepoteza pambano la pili jana kati ya 29 aliyocheza hadi sasa, linguine akipigwa na Wladimir Klitschko mwaka 2014 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3oINLYv
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang JOSHUA AMMALIZA PULEV KWA KO RAUNDI YA TISA WEMBLEY,. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/12/joshua-ammaliza-pulev-kwa-ko-raundi-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.