TANZANIA imefanikiwa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) baada ya ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Ethiopia kufuatia sare ya 1-1 leo kwenye mchezo wa Nusu Fainali Uwanja wa Umuganda mjini Rubavu, Rwanda.
Sasa Tanzania itamenyana na mabingwa watetezi, Uganda katika fainali Jumanne hapo hapo Uwanja wa Umuganda. The Cubs wao wameingia fainali baada ya kuitoa Djibouti mapema leo mchana hapo hapo Umuganda
Serengeti Boys sasa itashiriki Fainali za AFCON U17 kwa mara ya tatu mfululizo Julai mwakani nchini Morocco baada ya 2017 Gabon na 2019 walipokuwa wenyeji.
Na Serengeti Boys, mabingwa wa CECAFA U-17 mwaka 2108 nchini Burundi, wanafuata nyayo za kaka zao, Ngorongoro Heroes waliofuzu Fainali za AFCON U-20 zitakazofanyika nchini Mauritania kuanzia Februari 14 hadi Machi 4 mwakani.
Tanzania walikuwa wenyeji wa CECAFA U-20 mwishoni mwa Novemba na wakamaliza nafasi ya pili baada ya kufungwa 4-1 na Uganda Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu mkoani Arusha Desemba 2.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3aqaqoB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms