NYOTA wa kikosi cha Italia kilichotwaa Kombe la Dunia 1982 nchini Hispania, Paolo Rossi amefariki dunia akiwa ana umri wa miaka 64.
Kifo cha mshambuliaji huyo wa zamani wa Juventus na AC Milan, aliyetwaa Mpira wa Dhahabu na Kiatu cha Dhahabu mwaka 1982 ambaye aliichezea mechi 48 nchi yake, kimetangazwa mapema leo na Televisheni ya RAI Sport ya kwao, Italia ambayo Rossi alikuwa anaifanyia kazi kama Mchambuzi.
Rossi ameshinda mataji mawili ya Serie A, moja la Ulaya na Coppa Italia katika miaka yake minne Juve – lakini zaidi mchango wake kwa timu ya taifa ndio unakumbukwa mno, mabao yake sita yakiipa Italia Kombe nchini Hispania miaka 38 iliyopita.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2JUHuKi
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NYOTA WA KIKOSI CHA ITALIA 1982 PAOLO ROSSI AFARIKI DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/12/nyota-wa-kikosi-cha-italia-1982-paolo.html. Terimakasih atas perhatiannya.