GUINEA wamejiweka kwenye nafasi nzuri ya kwenda hatua ya mtoano ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Namibia jana katika mchezo wa Kundi D Uwanja wa Omnisport mjini Limbe.
Mabao ya Guinea jana yalifungwa na nyota wa Horoya, mshambuliaji Yakhouba Gnagna Barry mawili dakika ya 13 na 86 na kiungo Morlaye Sylla dakika ya 45 na kwa ushindi huo wanaongoza kundi kwa wastani wa mabao dhidi ya Zambia.
Mechi nyingine ya kundi hilo kana, Zambia iliichapa Tanzania 2-0, mabao ya washambuliaji wa NAPSA Stars, Collins Sikombe kwa penalti dakika ya 64 na Emmanuel Chabula wa Nkwazi FC dakika ya 81.
Michuano hiyo inaendelea leo kwa mechi mbili za Kundi A, Cameroon na Mali Saa 1:00 usiku na Burkina Faso na Zimbabwe Saa 4;00 usiku Uwanja wa Omnisport Ahmadou Ahidjo Jijini Yaounde.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3sFrUUw
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang GUINEA YAANZA VYEMA CHAN, YAITANDIKA NAMIBIA 3-0. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/01/guinea-yaanza-vyema-chan-yaitandika.html. Terimakasih atas perhatiannya.