KAMATI ya uchaguzi ya Simba SC imempitisha aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa na Mbunge wa zamani wa jimbo la Chemba, Juma Nkamia kugombea Uenyekiti wa klabu hiyo.
Katika uchaguzi huo mdogo uliopangwa kufanyika Februari 7, mwaka huu, Nkamia aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa Simba awali, atapambana na Mbunge wa zamani wa Kilwa, Murtaza Mangungu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC, Boniface Lihamwike amesema wawili ndio watakaopambana katika uchaguzi huo mdogo kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mwenyekiti, Swedi Nkwabi Septemba 14, mwaka 2019.
Na hiyo baada ya kuenguliwa kwa Mbunge wa jimbo la Mlalo, Lushoto mkoani Tanga, Rashid Abdallah Shangazi na Bittony Innocent Mkwakisu na Khamis Omar Mtika wakienguliwa.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurungenzi ya Simba, Mwina Kaduguda aliteuliwa kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo baada Mkwabi kujiuzulu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/39J0IeQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms