• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ▼  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ▼  Mei (134)
      • CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA...
      • SIMBA SC KUONDOKA KESHO KWA NDEGE KWENDA MWANZA KU...
      • FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI D...
      • YANGA SC YAACHANA NA KIUNGO MUANGOLA CARLOS CARLIN...
      • GEITA GOLD NDIYO MABINGWA WA LIGI DARAJA LA KWANZA...
      • PAMBA SC NA TRANSIT CAMP ZAPANGIWA WAPINZANI VITA ...
      • YANGA SC NA GSM KWA PAMOJA WAIPONGEZA AZAM MEDIA L...
      • NAMUNGO FC 1-3 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • CHELSEA BINGWA ULAYA, YAIPIGA MAN CITY 1-0 URENO
      • PAMBA YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUITANDIKA KE...
      • BOCCO, MUGALU NA MORRISON WAFUNGA SIMBA SC YATOKA ...
      • TANZANIA YAKAMILISHA MECHI ZAKE KWA KUCHAPWA 4-2 N...
      • MWAKINYO AMPIGA MUANGOLA KWA KO NA KUTWAA TAJI LA WBC
      • AL AHLY YATWAA SUPER CUP BAADA YA KUICHAPA BERKANE...
      • DILUNGA WA SIMBA SC AENGULIWA KIKOSI CHA TAIFA STA...
      • KIM POULSEN AITA 27 TAIFA STARS, WANANE WANATOKA S...
      • KAMATI YA UTENDAJI YAKUTANA LEO DAR NA KUAMUA UCHA...
      • SIMBA SC WAZAWADIWA SH MILIONI 50 KWA KUFIKA HATUA...
      • TFF YASEMA KLABU ITAKAYOKUWA INADAIWA NA MCHEZAJI ...
      • MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA...
      • SIMBA SC 3-0 DODOMA JIJI FC (KOMBE LA TFF)
      • TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI A...
      • VILLARREAL WAISHINDA MAN UNITED KWA MATUTA NA KUTW...
      • BOCCO APIGA MBILI SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 3-...
      • NAMUNGO FC YAICHIMBIA KABURI GWAMBINA FC BAADA YA ...
      • AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA...
      • MWADUI FC 0-2 YANGA SC (KOMBE LA TFF)
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA YUSSUF MGWAO, MCHE...
      • KASEKE APIGA ZOTE MBILI YANGA SC YAICHAPA MWADUI F...
      • AZAM TV WAINGIA MKATABA MPYA MNONO NA TFF SHILINGI...
      • TANZANIA YAANZA VIBAYA FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI...
      • NI RAJA NA PYRAMIDS TENA NUSU FAINALI KOMBE LA SHI...
      • AGUERO APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA EVERTON 5-0
      • MATA APIGA LA USHINDO KWA PENALTI MAN UNITED LE OL...
      • MANE APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YAICHAPA CRYSTAL P...
      • ASTON VILLA YAWACHAPA CHELSEA 2-1 VILLA PARK
      • PEPE APIGA ZOTE MBILI ARSENAL YAICHAPA BRIGHTON & ...
      • BIASHARA UNITED YAITWANGA NAMUNGO FC 2-0 MUSOMA NA...
      • ROBERT LEWANDOWSKI AVUNJA REKODI YA GERD MULLER BU...
      • ATLETICO MADRID WATWAA TAJI LA LIGA KWA POINTI MBI...
      • MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUISAIDIA WYDAD CASABLANCA ...
      • SIMBA SC 3-0 KAIZER CHIEFS (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
      • AHLY WAITOA MAMELODI NA KUTINGA NUSU FAINALI LIGI ...
      • BOCCO APIGA MBILI SIMBA SC YAITANDIKA KAIZER CHIEF...
      • PRINCE DUBE NA MUDATHIR YAHYA WAFUNGA AZAM FC YAIZ...
      • NYOTA WALIOTAMBA LIGI KUU WAKIWEMO KADO, MOURAD NA...
      • IHEFU SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 UBARUKU NA KUJIO...
      • JKT TANZANIA 0-2 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • PEPE APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1
      • LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 3-0 NA KUPANDA TOP FOUR...
      • YACOUBA SOGNE NA TUISILA KISINDA WAFUNGA JAMHURI Y...
      • SIMBA SC: KAMA TUNAHITAJI KUSHINDA JUMAMOSI, LAZIM...
      • CHELSEA YAICHAPA LEICESTER CITY 2-1 DARAJANI NA KU...
      • MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA FULHAM OLD ...
      • MSHIKA KIBENDERA ALIYEKATAA BAO LA YANGA SC DHIDI ...
      • MTIBWA SUGAR YAICHAPA MBEYA CITY 2-0 JAMHURI NA KU...
      • MWADUI FC YASHUKA RASMI DARAJA LIGI KUU BAADA YA K...
      • KAGERA SUGAR YAITANDIKA RUVU SHOOTING 3-1 KAITABA ...
      • NAMUNGO FC 0-0 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA OMAR MSWAKI, MCHEZ...
      • MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA SASA KUCHEZ...
      • BARCELONA YAPIGWA, REAL NA ATLETICO MADRID ZASHINDA
      • ALLISON AFUNGA BAO LA USHINDI LIVERPOOL YAICHAPA W...
      • SIMBA QUEENS MABINGWA TENA WA LIGI KUU YA WANAWAKE...
      • BIASHARA UNITED YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO...
      • COASTAL UNION WAJIWEKA PAGUMU BAADA YA KUCHAPWA ME...
      • KAIZER CHIEFS 4-0 SIMBA SC (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
      • NAMUNGO FC 0-0 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • LEICESTER CITY WAICHAPA CHELSEA 1-0 NA KUTWAA KOMB...
      • AZAM FC YAIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA KMC MEC...
      • SIMBA YACHAPWA 4-0 JOHANNESBURG NA KAIZER CHIEFS R...
      • KIHIMBWA AING'ARISHA MTIBWA SUGAR JAMHURI, YAICHAP...
      • REFA AKATAA BAO LA YANGA SC YALAZIMISHWA SARE YA K...
      • AZAM, SIMBA NA YANGA ZOTE ZATINGA ROBO FAINALI LIG...
      • TORRES APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA NEWCASTLE...
      • JKT TANZANIA YAWATANDIKA GWAMBINA FC 1-0 LEO MISUN...
      • TFF YAZIONYA TIMU ZA DARAJA LA KWANZA KUTOPANGA MA...
      • REAL MADRID YAICHAPA GRANADA 4-1 KATIKA LA LIGA
      • LIVERPOOL YAIFUMUA MAN UNITED 4-2 OLD TRAFFORS
      • WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI WAK...
      • SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS KILA TIMU YATOA WAC...
      • MBEYA CITY YAITANDIKA RUVU SHOOTING 2-0 NS KUJIOND...
      • ARSENAL YAICHAPA CHELSEA 1-0 PALE PALE DARAJANI
      • NAMUNGO FC YAWACHIMBIA KABURI MTIBWA SUGAR BAADA Y...
      • KAMATI YA SAA 72 YAIAGIZA BODI YA LIGI KUPANGA TAR...
      • MCHEZAJI WA ZAMANI WA SMALL SIMBA NA TIMU YA TAIFA...
      • LEICESTER CITY WAIPA UBINGWA MAN CITY BAADA YA KUI...
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA MWADUI FC 3-0 KISHAPU NA KUJ...
      • TFF YAMFUNGIA MECHI TANO NA FAINI 500,000 BEKI WA ...
      • SERIKALI YAWAOMBA RADHI MASHABIKI WA SOKA, YAANZA ...
      • SIMBA SC NA DODOMA JIJI DAR, YANGA SC NA MWADUI SH...
      • SIMBA SC WALIVYOONDOOKA ALFAJIRI YA LEO DAR KUWAFU...
      • DUWA SAID AMFANANISHA LUNYAMILA NA MIQUISSONE
      • CAVANI ASANI MKATABA MPYA WA MWAKA MMOJA MAN UNITED
      • TWIGA STARS KUANZA NA NAMIBIA KUFUZU AFCON YA WANA...
      • SIMBA SC KUONDOKA ALFAJIRI YA KESHO KWENDA AFRIKA ...
      • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIAGIZA WIZARA YA MICH...
      • REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA SEVILLA NY...
      • ARSENAL YAICHAPA WEST BROM 3-1 NA KUISHUSHA RASMI ...
      • BODI YA LIGI YASEMA TIMU ZOTE ZILITAARIFIWA JUZI M...
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » AZAM TV WAINGIA MKATABA MPYA MNONO NA TFF SHILINGI BILIONI 225.6 KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MIAKA 10

AZAM TV WAINGIA MKATABA MPYA MNONO NA TFF SHILINGI BILIONI 225.6 KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MIAKA 10

KAMPUNI ya Azam Media Limited imeingia mkataba mpya wa haki za matangazo ya Televisheni katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Mkataba huo wa miaka 10 kuanzia msimu ujao umesainiwa leo hoteli ya Hyatt Regency, Dar es Salaam na una thamani ya Sh. Bilioni 265.
Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Muhando  amesema kwamba thamani ya mkataba huo imetokana na uzoefu wa miaka minane katika kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ambako walijifunza mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuona jinsi timu zinavyojiendesha na changamoto zake.
“Miaka minane iliyopita, imetufanya kufahamu uendeshaji wa timu, tumeona changamoto nyingi wanazopitia, tumeona maisha ya wachezaji na tumekuwa sehemu ya maisha hayo ndio maana tumeguswa kwa kiasi kikubwa katika mkataba huu.

Hilo limetufanya tuongeze kiwango cha fedha cha udhamini wa kuonyesha matangazo ya ligi hiyo kwa sababu ni ukweli kuwa tunafanya biashara, lakini hii ya kwetu ni biashara ya kizalendo.
Thamani hiyo ya mkataba wenye thamani ya Shilingi bilioni 225. 6 itakuwa na manufaa si katika soka tu, ila pia kwa Serikali ambayo itanufaika na Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwani Azam Media Limited tutalipa kiasi cha Shilingi bilioni 34.4.
Sisi Azam Media Limited tunataka kuongeza hamasa ya burudani na kuufanya mpira wa miguu wa Tanzania kuwa katika kiwango cha kimataifa na weledi zaidi.
Tunaamini mashabiki wa mpira wa miguu nchini wamefurahia kazi yetu ambayo tuliifanya kwa miaka minane iliyopita. Matangazo hayo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kipindi hicho yametupa uzoefu mkubwa na mafanikio tuliyoyapata yametupa hamasa kuendelea tena.
Miaka minane imetupa uzoefu wa kutosha, ahadi yetu ni kuwa miaka kumi ijayo tutafanya mambo makubwa zaidi kwa kurusha matangazo yenye ubora wa kimataifa kama ilivyo katika nchi zilizoendelea. Kwa kutambua hilo tumeimarisha studio zetu kwa kuongeza vifaa vya kisasa na kuimarisha mitambo, vyote hivyo vitafanya matangazo yetu kuwa katika ubora wa kiwango cha juu zaidi.
Katika mkataba huu mpya, tunaahidi kuonyesha mechi zote za Ligi Kuu Bara kwa asilimia 100, kwani hata ligi iliyopita mathalani msimu huu unaokaribia kumalizika, tumeonyesha asilimia 99 ya mechi zote, zile chache ambacho hatukuonyesha haikuwa kwa sababu ya Azam Media Limited, ilikuwa changamoto nje ya uwezo wetu.
Tunaamini kwa kuonyesha mechi zote itasaidia timu kupata wadhamini binafsi, pia itawasaidia wachezaji kujitangaza zaidi ndani na nje ya nchi hivyo kupandisha thamani yao bila kusahau kuwa itafanya waamuzi wachezeshe kwa weledi zaidi.
Katika mkataba huu ambao umeboreshwa zaidi na zaidi, timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara zitanufaika kwa kiwango kikubwa na tunaamini kuwa kutakuwa na ushindani wa hali ya juu na ligi yetu itakuwa bora zaidi Afrika.
Hatuna shaka kuwa mkataba huu unaweza kuwa miongoni mwa mikataba mikubwa na yenye kiasi kikubwa cha fedha Kusini mwa Jangwa la Sahara katika mikataba ya matangazo ya mpira na maendeleo ya soka.
Ikumbukwe kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee Kusini mwa Jangwa la Sahara ambako mechi zote za Ligi Kuu zinaonyeshwa moja kwa moja kwenye televisheni tena bila kubagua timu ndogo wala kubwa. Nchi nyingine huonyesha mechi chache tu tena za klabu kubwa. Kazi hiyo inaweza kufanywa na Azam Media Limited tu.
Dira yetu siku zote imekuwa ni kujenga na kuifanya Ligi Kuu Tanzania Bara kuwa miongoni mwa ligi tano bora katika bara la Afrika. Mkataba huu ambao tumeusaini leo umeonyesha njia jinsi ya kufikia katika malengo hayo. Hilo tunaliahidi kulifanya kwa juhudi na nguvu zetu zote kwa kushirikiana na wadau wote wa soka nchini.
Thamani ya mkataba huu ni kubwa sana, sisi Azam hatukujali gharama za uzalishaji ambazo huhitaji wafanyakazi wengi viwanjani, gharama za satellite, vifaa vya kurushia matangazo na mambo mengine mengi yanayohusu matangazo ya moja kwa moja.
Ushiriki na thamani ya mkataba huu ni kwa ajili ya maendeleo ya Ligi Kuu Tanzania Bara na kwa kutambua hilo, fedha ambayo imewekezwa katika mkataba huu, asilimia 67 itakwenda moja kwa moja kwa timu ambazo zinashiriki ligi hiyo.
Kwa ufafanuzi zaidi ni kuwa kwa msimu ujao yaani 2021/2022, Azam Media Limited itatoa Shilingi bilioni 12, huku timu zinazoshiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara zikipata Shilingi bilioni nane, mgao mwingine utakwenda kwa maendeleo ya soka, TFF na Bodi ya Ligi Kuu (TPLB).
Fedha hizo zitaendelea kuongezeka kwa kila msimu na msimu wa mwisho wa mkataba yaani 2030/2031, Azam itatoa Shilingi bilioni 28 na wakati huo timu zote kwa ujumla zitapata takribani Shilingi bilioni 19. 
Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa ndani ya miaka kumi, kiwango ambacho kitatolewa msimu ujao kitaongezeka zaidi ya mara mbili mpaka itakapofika msimu wa mwisho wa mkataba.
Ili kuifanya timu yetu iwe na ushindani zaidi, kila nafasi ambayo timu imemaliza katika Ligi Kuu Tanzania Bara itakuwa na bonasi ambayo itatolewa kulingana na nafasi ya timu kwenye msimamo wa ligi.
Mathalani, kwa msimu mitatu ijayo yaani 2021/22 mpaka 2023/24, bingwa wa Tanzania Bara atakuwa akipata Shilingi milioni 500 kwa msimu. Mshindi wa pili Shilingi milioni 250, mshindi wa tatu Shilingi milioni 225 na mshindi wa nne Shilingi milioni 200. 
Fedha hizo zitakuwa zikiongezeka kila msimu na ndio maana msimu wa 2028/29 mpaka 2030/31 bingwa atakuwa akipata Shilingi milioni 700 kwa msimu. Mshindi wa pili Shilingi milioni 325, mshindi wa tatu Shilingi milioni 275 na mshindi wa nne Shilingi milioni 250.
Tunaamini kuwa timu hizo nne ndio zitakazokuwa zinashiriki michuano ya kimataifa (kutokana na nafasi zinazotolewa na CAF) kwa hiyo zinahitaji maandalizi mazuri ikiwa ni pamoja na kufanya usajili mzuri, kuweka kambi nzuri, kusafiri na mambo mengine yanayohusu maandalizi ya mashindano hayo.
Bonasi hizo hazitaishia kwa timu nne za juu tu, kila nafasi kutakuwa na bonasi yake, kwa msimu mitatu ya kwanza 2021/22 mpaka 2023/24 na misimu mitatu ya mwisho 2028/29 mpaka 2030/31, bonasi zitatolewa kama ifuatavyo;


Pia zawadi hizi zitaongezeka kila msimu katika kipindi cha miaka yote kumi ya mkataba huu.
Kama hiyo haitoshi, tumefanya uchunguzi wetu wenyewe tukagundua kuwa ili timu ziweze kusafiri vizuri wakati wa ligi, kulipa wachezaji wake mishahara na kuweka kambi nzuri zinahitaji kuwa na fedha na kwa kuangalia hilo katika kipindi cha miezi kumi ya ligi kila msimu tutakuwa tunatoa bonasi kwa kila timu.
Kwa msimu wa 2021/22 mpaka 2023/24 mgao kwa kila timu kwa kila mwezi utakuwa kati ya Shilingi milioni 40 mpaka milioni 50 na kiwango hicho kitakuwa kinaongezeka kila baada ya kipindi fulani.
Kiwango hicho kitapanda kila mara mpaka mwisho wa mkataba huu utakapoisha miaka kumi ijayo. Msimu wa 2028/29 mpaka 2030/31 kila timu itakuwa inapata bonasi ya Shilingi milioni 82 mpaka Shilingi milioni 102. Fedha hizi zitatolewa kwa mpangilio maalumu ili kuzuia zisitumike nje ya maandalizi ya timu na maendeleo ya soka.   
Sisi Azam Media Limited, tunaamini kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) pamoja na wadau wengine kama Bodi ya Ligi (TPLB) na Serikali watatupa ushirikiano wa kutosha ili kukamilisha nia yetu hii nzuri ya kuendeleza mpira wa miguu nchini.
Hayo yatawezekana kama kutakuwa na kanuni za soka za Ligi Kuu Tanzania Bara zenye viwango na zinazojitosheleza na ambazo zitarahisisha malengo yetu yaani sisi AML kuifanya ligi yetu kuwa miongoni mwa ligi bora Afrika.
Utashi wa kisiasa, ushirikiano kutoka serikalini bila kusahau vyombo vya habari vya ndani utafanya malengo yetu yatimizwe kwa haraka zaidi.
Ili kuifanya ligi yetu iendeshwe kisasa zaidi, tungeshauri kusiwe na maamuzi yanayofanywa kisiasa ambayo yanaweza kusababisha  kuongezwa kwa timu kwani hilo litasababisha kuvurugwa kwa ratiba na bajeti ambayo tayari imezingatia idadi ya timu zilizopo.
Tumekubaliana na TFF kwamba wanakwenda kuwekeza zaidi katika mfumo wa kutumia fedha mtandaoni ambao utasaidia udhibiti wa fedha. Mfumo huu utasaidia kudhibiti matumizi ya kila mwezi na ni lazima utumiwe na klabu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara watakapokuwa wanafanya maombi ya fedha, matumizi na marejesho. 
Lengo la mfumo huu ni kuongeza uwazi na kuhakikisha kuwa fedha zote zinatumika katika uendeshaji wa Ligi Kuu Bara. Timu zikiwa na mifumo imara ya fedha zitakuwa na uwezo wa kujiendesha na kushindana kimataifa.
Katika mkataba huu, malipo yote kwa klabu yatafanywa kwa miezi kumi wakati wa ligi, lakini yatalipwa sawa kila mwezi. Lengo ni kudhibiti na kuzuia matumizi ambayo hayamo katika mkataba huu.  
Tungependa kuona wadau wa soka wakiwemo mashabiki wa soka, waandishi wa habari, TFF, TPLB na taasisi nyingine za Serikali kama TRA, wakishiriki kupiga vita na kuondoa ukiukwaji wa haki za matangazo ya mpira na hasa mitandaoni au kupitia kwenye televisheni za ‘cable’.
Sisi Azam Media Limited (AML) tunaahidi kuwa tunakwenda kuongeza ubora katika matangazo yetu na ndio maana tumeazimia kuweka taa katika viwanja vingine vinne ili kuwezesha mechi nyingi zaidi kuchezwa usiku na kuongeza burudani. Hili linaweza kuongezeka kutokana na mazingira yatakavyokuwa yanaruhusu.
Tumeanza utekelezji wa hilo katika Uwanja wa Majaliwa na tunafuatilia mchuano wa timu ambazo zitashuka daraja ili kujua viwanja vingine vitatu ambako tutafunga taa.
Kwa ujumla miaka kumi ijayo, tunaamini itakuwa ni ya kipekee kwa Watanzania, itakuwa zaidi ya burudani na hakika hakuna atakayejuta kwani tumejipanga vya kutosha.  Uwezo wetu wa kuonyesha mechi umeongezeka na sasa tunaweza kuonyesha mechi zote za msimu. Tunawashukuru sana, tunaomba ushirikiano wa wadau wote wa soka,”amesema Tido Mhando, Ofisa Mtendaji Mkuu Azam Media Limited. 


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3vfV65o best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AZAM TV WAINGIA MKATABA MPYA MNONO NA TFF SHILINGI BILIONI 225.6 KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MIAKA 10. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/05/azam-tv-waingia-mkataba-mpya-mnono-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 03.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Rr0NtG3
Copyright Viral Sports: AZAM TV WAINGIA MKATABA MPYA MNONO NA TFF SHILINGI BILIONI 225.6 KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MIAKA 10