MDHAMINI mkuu wa Simba kampuni ya Sportpesa leo imeikabidhi klabu hiyo zawadi ya Sh. Milioni 50 kama zawadi kwa kufika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba SC ilitinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuongoza Kundi A mbele ya mabingwa watetezi. Al Ahly ya Misri, AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na El Merreikh ya Sudan.
Lakini safari yake katika michuano hiyo ilifikia tamati mbele ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini baada ya kutolewa kwa jumla ya mabao 4-3, ikifungwa 4-0 Johannesburg na kushinda 3-0 Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3wzQBms
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms