KAMATI ya Dharula ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa ushauri wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), limeamua kusogeza mbele mechi za kufuzu Kombe la Dunia barani kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19).
Taarifa ya CAF imesema kwamba mechi hizo zilizopangwa kuchezwa Juni mwaka huu sasa zitachezwa kuanzia Septemba, Oktoba na Novemba mwaka huu hadi Machi mwakani.
Tanzania imepangwa Kundi J kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar mwakani kuanzia Novemba 21 hadi Desemba 18 pamoja na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Benin na Madagascar.
Na kwa mujibu wa ratiba mpya itaanza na Madagascar kati ya Septemba 5 na 8, kabla ya kucheza na DRC kati ya Septemba 1 hadi 4, Benin Oktoba 6 na 9 na marudiano Oktoba 10 na 12.
Baada ya hapo itamenuana na DRC kati ya Novemba 11 na 13 na kukamilisha mechi zake za mchujo wa kundi hilo kwa kumenyana na Madagascar kati ya Novemba 14 an 16.
Baada ya hapo washindi wa makundi 10 watamenyana baina yao nyumbani na ugenini kupata wawakilishi watano wa Afrika kwenye fainali hizo za Qatar.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2RCzHoc
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms