BINTI Mjerumani mwenye asili ya Tanzania, Malaika Mihambo ameshinda Medali ya Dhahabu kwenye Kuruka Mbali (Long Jump) katika michezo ya Olimpiki inayoendelea Jijini Tokyo, Japan mapema leo.
Malakia mwenye umri wa miaka 27, ameruka umbali wa mita 7 akifuatiwa na mkongwe wa Marekani, Brittney Reese aliyechukua Medali ya Fedha na Mnigeria, Ese Brume aliyeondoka na Medali ya Shaba baada ya wote kuruka umbali wa mita 6.97.
Mihambo aliyeshinda ubingwa wa dunia mwaka 2019 na kushika nafasi ya nne Olimpiki ya 2016 – anazaliwa na mama Mjrumani na baba Mtanzania.
Kwa ushindi huo, Malaika kwa sasa ndiye bingwa wa Olimpiki, Ulaya na Dunia katika Long Jump.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3lqgBOJ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BINTI WA 'KITANZANIA' ASHINDA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/08/binti-wa-kitanzania-ashinda-medali-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.