• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ▼  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ▼  Oktober (138)
      • SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA COASTAL
      • SPORTSPESA ILIVYOBADILI TASWIRA YANGA SC
      • DK MSOLLA AENGULIWA UCHAGUZI BODI SABABU YA VYETI
      • YANGA SC 2-0 AZAM FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0
      • YANGA YAIKUNG'UTA AZAM FC 2-0
      • CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE 3-0 ST JAMES
      • ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER
      • CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD
      • LIVERPOOL YADUWAZWA NYUMBANI NA BRIGHTON
      • TANZANITE YAANZA VYEMA CECAFA U20
      • DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU
      • MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA AFARIKI DUNIA
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA KMC 1-0 UHURU
      • SUNDAY MANARA ATEULIWA KAMATI YA UFUNDI YANGA
      • ASIYEVAA NEMBO YA NBC ANASHUSHWA DARAJA
      • LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI
      • WEST HAM YAITOA MAN CITY KWA MATUTA
      • SIMBA SC YAPOZA MACHUNGU YA GALAXY
      • TFF YASEMA HAIHUSIKI KUFUKUZWA KWA GOMES
      • BIASHARA YAICHAPA PRISONS 3-0 SUMBAWANGA
      • WASHELISHELI KUCHEZESHA STARS NA DRC DAR
      • RAIS SAMIA AWAZAWADIA VIWANJA TWIGA STARS
      • ARSENAL YAICHAPA LEEDS UNITED 2-0
      • CHELSEA YAITOA SOUTHAMPTON KWA MATUTA
      • NI SIMBA NA RED ARROWS KOMBE LA SHIRIKISHO
      • SIMBA YAMFUKUZA GOMES NA WASAIDIZI WAKE
      • NI SIMBA NA RED ARROWS KOMBE LA SHIRIKISHO
      • MO DEWJI AWAKA SIMBA KUPIGWA 3-1
      • DODOMA JIJI YAICHAPA PRISONS 2-1 DODOMA
      • LIVERPOOL YAITANDIKA MAN UNITED 5-0
      • REAL YAICHAPA BARCA 2-1 CAMP NOU
      • POLISI YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 MLANDIZI
      • SIMBA SC YATOLEWA LIGI YA MABINGWA
      • NDAYIRAGIJE KOCHA WA KWANZA KUGUKUZWA LIGI KUU MSI...
      • MAN CITY YAITANDIKA BRIGHTON & HOVE ALBION 4-1
      • HATIMA YA BIASHARA UNITED MIKONONI MWA CAF
      • AZAM FC YATUPWA NJE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
      • CHELSEA YAITANDIKA NORWICH CITY 7-0 DARAJANI
      • TWIGA STARS YATUPWA NJE KUFUZU AFCON
      • SARE ZA 1-1 MECHI ZOTE ZA LIGI KUU LEO
      • ARSENAL YAICHAPA ASTON VILLA 3-1 LONDON
      • SAMATTA AWAADHIBU FENERBAHCE PALE PALE ISTANBUL
      • BIASHARA UNITED YAKWAMA KWENDA LIBYA
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA MTIBWA 1-0 KAITABA
      • BOCCO MCHEZAJI BORA LIGI KUU, FEISAL ASFC
      • TWIGA STARS WAENDA AFRIKA KUSINI KUIVAA TENA NAMIBIA
      • AZAM FC WAIFUATA PYRAMIDS KUMALIZA KAZI CAIRO
      • WACHEZAJI YANGA WAMZIKA BABA YAKE BOXER
      • MZAMBIA AIPIGIA ZOTE NNE LEICESTER URUSI
      • MAN UNITED YASHINDA HADI KILELENI ULAYA
      • CHELSEA YASHINDA 4-0 LUKAKU NA TIMO WAUMIA
      • HATIMAYE BARCELONA YASHINDA MECHI ULAYA
      • SANE APIGA MBILI, BAYERN MUNICH YASHINDA 4-0
      • TWIGA STARS YACHAPWA 2-1 NYUMBANI
      • REAL YAAMKA, YASHINDA 5-0 UGENINI
      • MESSI AING’ARISHA PSG LIGI YA MABINGWA
      • LIVERPOOL YAICHAPA ATLETICO 3-2 HISPANIA
      • MAN CITY YASHINDA 5-1 UBELGIJI
      • AZAM FC YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU
      • FEI TOTO AWAPA RAHA YANGA SONGEA
      • ARSENAL YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA PALACE
      • SIMBA YAITISHA MKUTANO NOVEMBA 21 DAR
      • DK MSOLLA, MANGUNGU KUWANIA UENYEKITI BODI YA LIGI
      • UFM KUTANGZA MECHI LIGI KUU
      • TIKETI ZA SIMBA NA GALAXY TAYARI ZIPO SOKONI
      • BOXER WA YANGA AFIWA NA BABA MZAZI
      • ADAM SALAMBA AJIUNGA NA JS SAOURA
      • BOCCO AING’ARISHA SIMBA SC GABORONE
      • RUVU SHOOTING YAICHAPA COASTAL UNION 1-0
      • SARE TUPU MECHI ZA LIGI KUU JUMAMOSI
      • CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
      • MAN CITY YAIBAMIZA BURNLEY 2-0
      • LEICESTER WAITANDIKA MAN UNITED 4-2
      • FIRMINO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAUA 5-0
      • AZAM FC YATOA SARE NA PYRAMIDS CHAMAZI
      • SIMBA SC WALIVYOWASILI GABORONE KUIVAA GALAXY
      • TANZANIA PRISONS YANOGEWA SUMBAWANGA
      • SAKHO, MUGALU WAACHWA SIMBA SAFARI YA BOTSWANA
      • BRAZIL YAICHAPA URUGUAY 4-1 KOMBE LA DUNIA
      • YANGA YAREJESHA DAR MECHI YAKE NA AZAM
      • BIASHARA UNITED YAICHAPA AL AHLI 2-0
      • CAF YARUHUSU MASHABIKI MECHI ZA KLABU DAR
      • CHAMA KUWANIA UCHEZAJI BORA LIGI KUU BARA
      • MWANARIADHA WA KENYA AKUTWA AMEKUFA NYUMBANI
      • BODI YASOGEZA MBELE MECHI YA SIMBA
      • RAIS SAMIA AWAAHIDI JAMBO TWIGA
      • ENGLAND YALAZIMISHWA SARE WEMBLEY
      • RONALDO APIGA HAT TRICK YA 10 URENO
      • SENEGAL YATANGULIZA MGUU MMOJA QATAR
      • SIMBA SC KWENDA BOSTSWANA KESHO USIKU
      • AZAM FC NA PYRAMIDS JUMAMOSI CHAMAZI
      • CAF YAPIGA FAINI YANGA SC DOLA 5,000
      • UCHAGUZI BODI YA LIGI KUFANYIKA KIGOMA
      • BIASHARA KUWAVAA WALIBYA IJUMAA DAR
      • MALKIA WA COSAFA, TWIGA WAWASILI DAR
      • BENIN 0-1 TANZANIA (KUFUZU KOMBE LA DUNIA)
      • YANGA SC YAICHAPA JKU 1-0 MKAPA
      • UFARANSA BINGWA LIGI YA ULAYA
      • MADAGASCAR YAICHAPA DRC 1-0
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » SPORTSPESA ILIVYOBADILI TASWIRA YANGA SC

SPORTSPESA ILIVYOBADILI TASWIRA YANGA SC

NDANI ya miaka minne tu, kampuni maarufu zaidi nchini ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa ndio inayoshikilia rekodi ya kuwa kampuni iliyoweka fedha nyingi zaidi za udhamini katika klabu kongwe zaidi nchini ya Yanga na ndio mabingwa wa kihistoria.

Yanga ndio klabu kongwe na ambayo imechukua makombe mengi zaidi ya Ligi Kuu Bara ikifuatiwa na watani wake wa jadi Simbaambao walitokea ubavuni mwa klabu hiyo kongwe zaidi. 
Sifa namba moja ya mashabiki wa Yanga ni wale walio na mapenzi ya dhati na klabu yao katika vipindi vyote kwa maana ya raha na shida na wamekuwa wakionyesha mapenzi ya kiwango cha juu sana kuhakikisha Yanga inafanya vema kwa kuiunga mkono.
Mashabiki wa Yanga, wengi wanatambua mchango mkubwa wa SportPesa licha ya kwamba Yanga haijawa na vipindi vizuri sana lakini tayari mambo yameanza kubadilika.
Wakati SportPesa inatimiza miaka minne ya kuzaliwa hapa nchini, tayari udhamini wake wa miaka minne wa kumwaga kitita cha zaidi ya Sh bilioni moja kwa kila mwaka, ndio unaoshikilia rekodi ya kuwa udhamini mkubwa zaidi katika historia ya Yanga.

Wadhamini kadhaa wamepita Yanga wakiidhamini timu ambao mchango wao unaendelea kuthaminiwa kwa kuwa umechangia kuifikisha ilipo lakini heshima kubwa ya SportPesa kuipa Yanga udhamini mkubwa zaidi ndio imekuwa gumzo zaidi.
Kikosi cha Yanga kinahitaji mishahara bora, kambi bora na mengine mengi ambayo yataifanya Yanga kuwa katika mwendelezo bora wa kukiimarisha kikosi chake na unaona kadiri siku zinavyosonga mbele, Yanga wameendelea kuimarisha kikosi chao wakishirikiana na wadhamini wao wakuu SportPesa na wengine kama GSM.
Mpira ni fedha na mipango ya muda mrefu na mfupi, hata ukiwa na mipango na hauna fedha, itakuwa kazi bure. Kupitia udhamini wa SportPesa imeendelea kufukuzana na watani wake wa jadi Simba kwa karibu kila msimu.
Mara ya mwisho Yanga ilichukua ubingwa ni msimu wa 2016/17 ikifukuzana na mtani wake Simba baada ya kulingana pointi lakini baada ya hapo, watani wake walitawala kwa misimu minne mfululizo na katika misimu hiyo mitatu, Yanga imeendelea kubaki katika nafasi ya pili kuonyesha bado ni timu imara na mshindani sahihi wa Simba.

Kubaki nafasi ya pili kwa msimu yote mitatu, hauwezi kusema Yanga imepotea kwa kuwa ndio wapinzani wakuu wa Simba katika kuusaka ubingwa wa Tanzania Bara. Ushindani umezidi kupanda lakini udhamini mkubwa kutoka SportPesa unaifanya Yanga kuzidi kuwa imara kuendelea kuupambania ubingwa na dalili zinaonyesha hivi karibuni mambo yatabadilika.
Wachezaji wanahitaji huduma nzuri, wanahitaji malipo bora ili kufanya vema na udhamini wa SportPesa unaifanya Yanga kuendelea kuwa mshindani ambayo siku chache zijazo ataanza kuwa mshindi na ikiwezekana mfululizo.
SportPesa imekuwa karibu na Yanga na ikifanya kazi zake kwa weledi mkubwa kama mdhamini, ndio maana haujawahi kusikia malalamiko ya fedha za udhamini kucheleweshwa lakini hujawahi kusikia malalamiko ya kuchelewa kwa mishahara au huduma bora kwa wachezaji wakiushutumu uongozi kwa kuwa tayari nao unapata uhakika kutokana na udhamini bora kutoka kwa mdhamini mkuu SportPesa anayeshirikiana na wadhamini wengine.

Kabla ya udhamini wa SportPesa, Yanga zaidi ilitegemea wafadhili na si wadhamini. Kwa sasa, Yanga ina nguvu yake na mwendo bora kwa kuwa ina uhakika wa mdhamini mkuu bora ambaye anaweza kuifanya kupita katika njia sahihi inayohitaji kupita kufikia malengo yake.
Mambo mengine ni hatua lakini uzoefu mkubwa wa udhamini katika mchezo wa soka wa SportPesa, umekuwa mchango mkubwa kwa Yanga. Kama unakumbuka SportPesa imewahi kuidhamini Hull City ya England ikiwa katika Ligi Kuu England lakini baadaye Everton FC ikiwa katika ligi hiyo kubwa na maarufu duniani.
Uwezo wa kudhamini timu kubwa na maarufu au ligi kubwa kama ile ya Hispania, La Liga, tayari ni sababu ya uhakika kuifanya Yanga iendelee kujiamini na sasa kuendelea na mipango yake bora kuendelea kuimarisha kikosi chao ambacho bila shaka, hivi karibuni kitakuwa gumzo zaidi.
Kwa kuwa kwa ushirikiano bora kabisa kutoka kwa SportPesa, Yanga inaendelea kufanya mabadiliko na kujiimarisha, mwendo unaonyesha udhamini wa miaka minne wa SportPesa umekuwa ni msaada mkubwa wa Jangwani na hivi karibuni kikosi hicho kitasimama imara na kuanza kubeba makombe mfululizo.
Tayari Yanga imebeba kombe la Mapinduzipamoja na Ngao ya Jamii kwa msimu katika mechi ya fainali ambayo iliwafunga watani wake wa jadi Simba. Dalili tosha kwamba kikosi hicho kitakapoendelea kujiimarisha, kitarejea na kuanza kubeba mataji tena kwa kuwa katika Ligi Kuu Bara, mar azote kimeendelea kubaki katika nafasi ya pili.
Udhamini bora ni chachu ya maendeleo ya klabu, udhamini wa SportPesa umeendelea kuwa chachu ya kikosi cha Yanga kwenda katika mabadiliko ambayo yataifanya kuwa bora maradufu kwa kuwa iko katika mikono salama ya wadhamini na si wafadhili.

from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3pUFJiP best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SPORTSPESA ILIVYOBADILI TASWIRA YANGA SC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/10/sportspesa-ilivyobadili-taswira-yanga-sc.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 09.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }

Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
    Our footy writer previews four eye-catching 2018 World Cup qualifiers that are worth a dabble.  Club football goes on hold as the interna...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: SPORTSPESA ILIVYOBADILI TASWIRA YANGA SC