TANZANIA imefufua matumaini ya kufuzu kwenye Fainali za Kombe la Dunia mwakani Qatar baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Benin jioni ya leo Uwanja wa L' Amitié Jijini Cotonou.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee la Taifa Stars, mshambuliaji wa Wydad Athletics ya Morocco, Simon Happygod Msuva dakika ya sita tu akimchambua kipa Owalabi Franck Saturnin wa Valenciennes Ligue 2 ya Ufaransa baada ya kuwatoka mabeki wa Benin kufuatia kuanzishiwa mpira wa kurusha upande wa kulia wa Uwanja.
Taifa Stars inayofundishwa na kocha Mdenmark, Kim Poulsen inafikisha pointi saba, sawa na Benin baada ya mechi tatu wakiwa mbele ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yenye pointi tano na Madagascar ambayo haina pointi baada ya mechi tatu.
Madagascar wanawakaribisha DRC kuanzia Saa 1:00 usiku wa leo Uwanja wa Manispaa ya Mahamasina Jijini Antananarivo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2X4qGaA
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MSUVA AING'ARISHA TAIFA STARS BENIN. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/10/msuva-aingarisha-taifa-stars-benin.html. Terimakasih atas perhatiannya.