• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ▼  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ▼  Oktober (138)
      • SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA COASTAL
      • SPORTSPESA ILIVYOBADILI TASWIRA YANGA SC
      • DK MSOLLA AENGULIWA UCHAGUZI BODI SABABU YA VYETI
      • YANGA SC 2-0 AZAM FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0
      • YANGA YAIKUNG'UTA AZAM FC 2-0
      • CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE 3-0 ST JAMES
      • ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER
      • CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD
      • LIVERPOOL YADUWAZWA NYUMBANI NA BRIGHTON
      • TANZANITE YAANZA VYEMA CECAFA U20
      • DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU
      • MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA AFARIKI DUNIA
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA KMC 1-0 UHURU
      • SUNDAY MANARA ATEULIWA KAMATI YA UFUNDI YANGA
      • ASIYEVAA NEMBO YA NBC ANASHUSHWA DARAJA
      • LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI
      • WEST HAM YAITOA MAN CITY KWA MATUTA
      • SIMBA SC YAPOZA MACHUNGU YA GALAXY
      • TFF YASEMA HAIHUSIKI KUFUKUZWA KWA GOMES
      • BIASHARA YAICHAPA PRISONS 3-0 SUMBAWANGA
      • WASHELISHELI KUCHEZESHA STARS NA DRC DAR
      • RAIS SAMIA AWAZAWADIA VIWANJA TWIGA STARS
      • ARSENAL YAICHAPA LEEDS UNITED 2-0
      • CHELSEA YAITOA SOUTHAMPTON KWA MATUTA
      • NI SIMBA NA RED ARROWS KOMBE LA SHIRIKISHO
      • SIMBA YAMFUKUZA GOMES NA WASAIDIZI WAKE
      • NI SIMBA NA RED ARROWS KOMBE LA SHIRIKISHO
      • MO DEWJI AWAKA SIMBA KUPIGWA 3-1
      • DODOMA JIJI YAICHAPA PRISONS 2-1 DODOMA
      • LIVERPOOL YAITANDIKA MAN UNITED 5-0
      • REAL YAICHAPA BARCA 2-1 CAMP NOU
      • POLISI YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 MLANDIZI
      • SIMBA SC YATOLEWA LIGI YA MABINGWA
      • NDAYIRAGIJE KOCHA WA KWANZA KUGUKUZWA LIGI KUU MSI...
      • MAN CITY YAITANDIKA BRIGHTON & HOVE ALBION 4-1
      • HATIMA YA BIASHARA UNITED MIKONONI MWA CAF
      • AZAM FC YATUPWA NJE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
      • CHELSEA YAITANDIKA NORWICH CITY 7-0 DARAJANI
      • TWIGA STARS YATUPWA NJE KUFUZU AFCON
      • SARE ZA 1-1 MECHI ZOTE ZA LIGI KUU LEO
      • ARSENAL YAICHAPA ASTON VILLA 3-1 LONDON
      • SAMATTA AWAADHIBU FENERBAHCE PALE PALE ISTANBUL
      • BIASHARA UNITED YAKWAMA KWENDA LIBYA
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA MTIBWA 1-0 KAITABA
      • BOCCO MCHEZAJI BORA LIGI KUU, FEISAL ASFC
      • TWIGA STARS WAENDA AFRIKA KUSINI KUIVAA TENA NAMIBIA
      • AZAM FC WAIFUATA PYRAMIDS KUMALIZA KAZI CAIRO
      • WACHEZAJI YANGA WAMZIKA BABA YAKE BOXER
      • MZAMBIA AIPIGIA ZOTE NNE LEICESTER URUSI
      • MAN UNITED YASHINDA HADI KILELENI ULAYA
      • CHELSEA YASHINDA 4-0 LUKAKU NA TIMO WAUMIA
      • HATIMAYE BARCELONA YASHINDA MECHI ULAYA
      • SANE APIGA MBILI, BAYERN MUNICH YASHINDA 4-0
      • TWIGA STARS YACHAPWA 2-1 NYUMBANI
      • REAL YAAMKA, YASHINDA 5-0 UGENINI
      • MESSI AING’ARISHA PSG LIGI YA MABINGWA
      • LIVERPOOL YAICHAPA ATLETICO 3-2 HISPANIA
      • MAN CITY YASHINDA 5-1 UBELGIJI
      • AZAM FC YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU
      • FEI TOTO AWAPA RAHA YANGA SONGEA
      • ARSENAL YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA PALACE
      • SIMBA YAITISHA MKUTANO NOVEMBA 21 DAR
      • DK MSOLLA, MANGUNGU KUWANIA UENYEKITI BODI YA LIGI
      • UFM KUTANGZA MECHI LIGI KUU
      • TIKETI ZA SIMBA NA GALAXY TAYARI ZIPO SOKONI
      • BOXER WA YANGA AFIWA NA BABA MZAZI
      • ADAM SALAMBA AJIUNGA NA JS SAOURA
      • BOCCO AING’ARISHA SIMBA SC GABORONE
      • RUVU SHOOTING YAICHAPA COASTAL UNION 1-0
      • SARE TUPU MECHI ZA LIGI KUU JUMAMOSI
      • CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
      • MAN CITY YAIBAMIZA BURNLEY 2-0
      • LEICESTER WAITANDIKA MAN UNITED 4-2
      • FIRMINO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAUA 5-0
      • AZAM FC YATOA SARE NA PYRAMIDS CHAMAZI
      • SIMBA SC WALIVYOWASILI GABORONE KUIVAA GALAXY
      • TANZANIA PRISONS YANOGEWA SUMBAWANGA
      • SAKHO, MUGALU WAACHWA SIMBA SAFARI YA BOTSWANA
      • BRAZIL YAICHAPA URUGUAY 4-1 KOMBE LA DUNIA
      • YANGA YAREJESHA DAR MECHI YAKE NA AZAM
      • BIASHARA UNITED YAICHAPA AL AHLI 2-0
      • CAF YARUHUSU MASHABIKI MECHI ZA KLABU DAR
      • CHAMA KUWANIA UCHEZAJI BORA LIGI KUU BARA
      • MWANARIADHA WA KENYA AKUTWA AMEKUFA NYUMBANI
      • BODI YASOGEZA MBELE MECHI YA SIMBA
      • RAIS SAMIA AWAAHIDI JAMBO TWIGA
      • ENGLAND YALAZIMISHWA SARE WEMBLEY
      • RONALDO APIGA HAT TRICK YA 10 URENO
      • SENEGAL YATANGULIZA MGUU MMOJA QATAR
      • SIMBA SC KWENDA BOSTSWANA KESHO USIKU
      • AZAM FC NA PYRAMIDS JUMAMOSI CHAMAZI
      • CAF YAPIGA FAINI YANGA SC DOLA 5,000
      • UCHAGUZI BODI YA LIGI KUFANYIKA KIGOMA
      • BIASHARA KUWAVAA WALIBYA IJUMAA DAR
      • MALKIA WA COSAFA, TWIGA WAWASILI DAR
      • BENIN 0-1 TANZANIA (KUFUZU KOMBE LA DUNIA)
      • YANGA SC YAICHAPA JKU 1-0 MKAPA
      • UFARANSA BINGWA LIGI YA ULAYA
      • MADAGASCAR YAICHAPA DRC 1-0
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MWANARIADHA WA KENYA AKUTWA AMEKUFA NYUMBANI

MWANARIADHA WA KENYA AKUTWA AMEKUFA NYUMBANI


MWANARIADHA Agnes Jebet Tirop, aliyeiwakilisha Kenya katika mbio za mita 5000 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Tokyo, Japan katika tu ya mwaka huu, amekutwa amefariki dunia jana nyumbani 
huko Iten, Kaunti ya Elgeyo Marakwet.
Polisi nchini Kenya, wanasema Tirop alikutwa amekufa nyumbani kwake kwenye mji wa Iten magharibi mwa Kenya, eneo ambalo hutumiwa na wanariadha wengi kufanya mazoezi.
Aidha, mwili wake umepatikana ukiwa na majeraha tumboni na shingoni na inadaiwa kwamba huenda mumewe ndiye aliyetekeleza kitendo hicho kwa kuwa wamekuwa katika mzozo kwa muda sasa. 
Mumewe Agnes aidha anadaiwa kuonekana nyumbani kwa Agnes saa chache zilizopita kabla ya mwili wake kupatikana.
Taarifa ya shirikisho la riadha nchini kenya imesema "Kenya imepoteza lulu ambae alikuwa kinara anayechipukia katika ngazi za kimataifa, shukrani kwa uwezo wake uwanjani".
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametoa ubani kwa mwanariadha huyo kijana na kutoa wito kwa polisi kuwasaka wale waliohusika na mauaji yake.
Ni kitu hakielezeki, hakikupaswa kutokea na ni huzuni kwamba tulepoteza mwanariadha kinda, ambaye katika umri wa miaka 25, ameiletea nchi yake sifa kubwa kupitia jukwaa la kimataifa. Alisema rais Kenyatta katika taarifa yake.
Jumamosi iliyopita, mwanariadha mwingine wa Kenya, Hosea Mwok Macharinyang, mwanamichezo mwingine katika mbio ndefu za kitaifa, alifariki dunia katika kile kimesemwa ni tukio la kujiua.
Macharinyang aliyekuwa na umri wa miaka 35 alikutwa amekufa nyumbani kwake magharibi mwa nchi ya Kenya.
Alikuwa mwanariadha wa kipekee, alijitoa katika mchezo huu na kuishindania Kenya kwa miaka mingi, kuanzia mbio za kitaifa na zile za mita elfu 5 na elfu 10. alisema Jackson Pkemoi, mwakilishi wa shirikisho la riadha kwenye eneo la West Pokot.
Macharinyang aliweka rekodi ya kushindana kwa zaidi ya mara 8, na kushinda mataji matatu mfululizo katika mashindano ya kitaifa kuanzia mwaka 2006 hadi 2008.
Nchi ya Kenya ni miongoni mwa mataifa yenye mafanikio makubwa katika mbio za kimataifa za kitaifa, ikishinda ikiwa na timu 49 na mataji binafsi 27.
Mwezi uliopita mwanariadha huyo alivunja rekodi ya wanawake katika mbio za kilomita 10,000 katika mashindano ya Road to Records Race nchini Ujerumani 
Alishinda pia mashindano ya nyika ya Afrika mnamo 2014 huko Kampala, Uganda na vile vile Mashindano ya Dunia ya nyika kwa Vijana Duniani mnamo 2013 huko Bydgoszcz, Poland.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3AFVvA6 best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MWANARIADHA WA KENYA AKUTWA AMEKUFA NYUMBANI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/10/mwanariadha-wa-kenya-akutwa-amekufa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 20.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
    Our footy writer previews four eye-catching 2018 World Cup qualifiers that are worth a dabble.  Club football goes on hold as the interna...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: MWANARIADHA WA KENYA AKUTWA AMEKUFA NYUMBANI