• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ▼  2021 (2522)
    • ▼  Desember (170)
      • KVZ 0-2 MALINDI
      • JKU 1-0 ZIMAMOTO
      • TAIFA JANG'OMBE 0-2 MAFUNZO
      • UHAMIAJI 1-0 MAFUNZO
      • YANGA YAUAGA MWAKA KWA USHINDI WA 4-0
      • MAN UNITED YAICHAPA BURNLEY 3-0 OLD TRAFFORD
      • YANGA YATAJA VIINGILIO KESHO MECHI NA DODOMA JIJI
      • AFCON 2021 LIVE STARTIMES
      • AJIBU ATUPIWA ‘VIRAGO’ SIMBA KWA MASLAHI YA KLABU
      • KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AZAM 5,000 JUMAPILI
      • MAN CITY YAZIDI KUUKARIBIA UBINGWA MWINGINE
      • CHELSEA YACHOMOLEWA DAKIKA YA MWISHO DARAJANI
      • YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY
      • BLACK SAILORS 1-2 MLANDEGE
      • MLANDEGE 1-2 KMKM
      • YOSSO BOYS 0-1 TAIFA JANG'OMBE
      • KMC CHUPUCHUPU KUPIGWA NA RUVU CHAMAZI, 1-1
      • SIMBA SC YAMTUPIA ‘MAFURUSHI’ YAKE HITIMANA
      • MTIBWA SUGAR YAILAZA COASTAL UNION 1-0 MKWAKWANI
      • MAFUNDI WANAPOKUTANA, HESHIMA HUCHUKUA NAFASI YAKE
      • CAVANI ATOKEA BENCHI KUINUSURU KIPIGO MAN UNITED
      • YANGA SC 2-1 KAGERA SUGAR
      • SIMBA QUEENS YASHINDA 8-0, YANGA PRINCESS YADROO
      • BODI YA LIGI YAZITAKA KLABU KUBORESHA VIWANJA
      • MBEYA CITY, KWANZA ZATOA SARE UGENINI LIGI KUU
      • MZEE KIKWETE AMFARIJI MWAKINYO KUFIWA MAMA
      • CHELSEA YAICHAPA ASTON VILLA 3-1 VILLA PARK
      • YANGA YATOKA NYUMA TENA KUILAZA BIASHARA 2-1
      • ARSENAL YAWAPA ZAWADI YA 5-0 MASHABIKI WAKE
      • MAN CITY YAICHAPA LEICESTER 6-3 ETIHAD
      • DTB YAENDELEZA MOTO CHAMPIONSHIP, YAILAZA GWAMBINA...
      • PRISONS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 KAITABA
      • YANGA SC YAITISHA MKUTANO WA MATAWI JUMATATU JANGWANI
      • MKONGWE WA KONGO DEO KANDA ATUA MTIBWA SUGAR
      • KIPANGA 5-2 MACHOMANNE
      • KIPANGA 1-2 KVZ
      • KMC 1-4 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • HEMED MOROCCO AACHANA NA NAMUNGO FC
      • RASMI, SURE BOY NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC
      • YANGA PRINCESS WASHINDA 2-0 DOM LIGI YA WANAWAKE
      • KIBU APIGA MBILI SIMBA SC YAITANDIKA KMC 4-1 TABORA
      • COASTAL UNION YAILAZA MBEYA CITY 3-2 MKWAKWANI
      • ZIMAMOTO 0-0 BLACK SAILOR
      • MLANDEGE 2-0 YOSSO BOYS
      • POLISI 2-2 MAFUNZO
      • ZIMAMOTO 2-1 MACHOMANNE
      • AZAM FC YAIBOMOA RUVU SHOOTING 4-1 CHAMAZI
      • SIMBA QUEENS YASHINDA 15-0 LIGI YA WANAWAKE
      • GEITA GOLD YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0
      • AL AHLY WATWAA SÚPER CUP KIMAAJABU
      • CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI CARABAO
      • LIVERPOOL YAITOA LEICESTER KWA MATUTA CARABAO
      • DODOMA JIJI WAILAZA NAMUNGO FC 2-1 ILULU
      • MBEYA KWANZA YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 KAITABA
      • AZAM FC YAACHANA RASMI NI SURE BOY BAADA YA MIAKA 15
      • MAREFA WATAKAOCHEZESHA AFCON 2022 WATAJWA
      • NKETIAH APIGA HAT-TRICK ARSENAL YAICHAPA SUNDERLAN...
      • MTIBWA YALAZIMISHWA SARE NA POLISI 1-1 GAIRO
      • IDDI NADO BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI AFRIKA KUSINI
      • WAZIRI AWAPONGEZA TANZANITE KUSONGA MBELE KOMBE LA...
      • CAF YAIRUHUSU TANZANIA KUFANYA KOZI ZA LESENI A
      • LIGI YA WANAWAKE KUANZA KESHOKUTWA NCHINI
      • AGGREY, MUDATHIR WAREJEA KUNDINI AZAM, SURE BOY...
      • CHIPUKIZI MWINGINE MTANZANIA ASAJILIWA LIGI YA ISRAEL
      • MWITIKIO UCHANGIAJI UJENZI WA UWANJA SIMBA WARIDHISHA
      • TANZANIA PRISONS 1-2 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA B...
      • COASTAL UNION YAIPIGA BIASHARA 1-0 MUSOMA
      • LIVERPOOL PUNGUFU YATOA SARE NA SPURS 2-2 LONDON
      • CHELSEA YAAMBULIWA SARE KWA WOLVES MOLINEUX
      • MAN CITY YAWEKA REKODI KUSHINDA MECHI NYINGI MWAKA...
      • YANGA YAZIMA GWARIDE SUMBAWANGA, PRISONS CHALI
      • MARTINELLI APIGA MBILI ARSENAL YAUA 4-0
      • AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA MBEYA CITY CHA...
      • BODI YA LIGI YAUTIA KUFULI TENA MANUNGU COMPLEX
      • TANZANITE WAZISHINDA HILA ZA WARUNDI, WASONGA MBELE
      • MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA KMC MANUNGU
      • WACHEZAJI 11 TANZANITE 'WAPEWA' COVID 19 BURUNDI
      • BEN POL, FRIDA AMANI WAPEWA TUZO YA MAZINGIRA
      • MECHI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA YAAHIRISHWA BUKOBA
      • SIMBA YAIKATAA RASMI GSM LIGI KUU
      • NAMUNGO FC YAWACHAPA MBEYA KWANZA 1-0 SOKOINE
      • GEITA GOLD YAICHAPA RUVU SHOOTING 2-1
      • MJINI MAGHARIBI, ARUSHA MABINGWA SOKA TAIFA CUP
      • MKULIMA ASHINDA JACKPOT BONUS YA MILIONI 10
      • CHELSEA YALAZIMISHWA SARE, 1-1 NA EVERTON DARAJANI
      • LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 3-1
      • DIRISHA DOGO LAFUNGULIWA RASMI HADI JANUARI 15
      • MAREFA 17 WA TANZANIA WAPEWA BEJI ZA FIFA
      • YANGA SC 4-0 IHEFU SC (KOMBE LA TFF)
      • ARSENAL YAPANDA ‘TOP FOUR’ ENGLAND
      • MBOMBO AING’ARISHA AZAM FC KOMBE LA TFF
      • MAKAMBO APIGA HAT TRICK YANGA YAUA 4-0 ASFC
      • KMKM YAICHAPA KIPANGA 3-2
      • SIMBA SC 1-0 JKT TANZANIA (KOMBE LA TFF))
      • MTIBWA SUGAR YAMTUPIA VIRAGO KOCHA OMOG
      • SIMBA YAICHAPA JKT 1-0 KOMBE LA TFF
      • DODOMA JIJI YASONGA MBELE ASFC
      • PRISONS YATOA KOCHA NA MCHEZAJI BORA LIGI KUU NOVEMBA
      • BAGAMOYO SUGAR MAMBO YAZIDI KUNOGA
      • LWANDAMINA 'OUT' AZAM FC, MMAREKANI APEWA TIMU
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » MKULIMA ASHINDA JACKPOT BONUS YA MILIONI 10

MKULIMA ASHINDA JACKPOT BONUS YA MILIONI 10

MKAZI wa Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro, Bwana Kassim Said Linzio, amekuwa ni mmoja wa washindi wa bonasi ya Jackpot ya Sportpesa wawiki hii kwa kuibuka na kitita cha shilingi Milioni Kumi (10).
Bwana Kassim, ambaye ana umri wa miaka 51, ni mmoja kati ya washindi saba, kati ya walioshinda bonus ya Sportpesa Jackpot wiki hii, kwa kubashiri kwa usahihi timu 12 kati ya 13.
Bwana Kassim anasema alianza kucheza na Sportpesa Mwezi Juni 2020, baada ya kusikia kutoka kwa jamaa zake wa karibu na kuona matangazo kupitia simu yake ya kitochi.
“Mimi nilianza kucheza mdogo mdogo, kwa kubashiri timu tano mpaka saba, na kushinda mara kwa mara, kati ya shilingi elfu arobaini na elfu sabini. Baada ya hapo nilipata tamaa ya kujaribu na kucheza mechi nyingi Zaidi”.


Anaendelea kwa kusema baada ya kuona uwezo wake wa kubashiri na kupatia mechi nyingi umefikia wastani wa mechi 11 hadi 12, aliona ni afadhali ajaribu Jackpot, kwa kuwa ina kiwango cha juu cha malipo.
Baba huyu mwenye familia yenye mke mmoja, na watoto watano, anajishughulisha zaidi na shughuli ya kilimo cha mpunga na upasuaji wa kokoto alipata meseji ya ushindi siku ya Tarehe 13, jioni.
‘’Nakumbuka nilipopata meseji ya ushindi, nilipiga simu SportPesa, kwa kutumia namba ya huduma kwa wateja, na kuhakikishiwa kuwa ni kweli nimeshinda na hivyo nitahitajika kwenda kwenye ofisi za SportPesa kwa ajili ya utaratibu wa malipo’’.
Ingawa ndoto ya bwana Kassim ilikuwa kushinda Jackpot kubwa ambayo kwa sasa ni zaidi ya shillingi 783,781,040 ushindi huu umempa ari zaidi ya kucheza na kuifukuzia Jackpot hiyo.
‘’Ni malengo yangu kwamba niliitaka ile jackpot kubwa, lakini kwa kuwa nimepata bonus, basi nitafanya yale machache yaliyokuwa kiporo katika malengo yangu ya muda mfupi, wakati huo huo nikijitahidi kupambana kwa ajili ya Jackpot kubwa’’.
Akimalizia bwana Kassim anasema pesa aliyoipata itamsaidia kumalizia nyumba yake, Kulipa ada za shule za watoto wake na pia kumpatia mkewe mtaji kwa ajili ya biashara atakayoona inamfaa.
Pia amewaasa watanzania hasa hasa watu wenye umri kama wake kuona kucheza michezo hii ya kubashiri kama fursa ya kuongeza kipato na kujaribu bahati yao. “Nitoe rai kwa wananchi wenzangu na watanzania wote kwa ujumla wacheze na Sportpesa kwani huduma zao ni nzuri na malipo ni ya uhakika’’.
Kutoka SportPesa Meneja Uhusiano na Mawasiliano Sabrina Msuya aliongeza kwa kusema “Tunampongeza sana Kassim Pamoja na washindi wa wiki hii wote kwa kupata Jackpot bonus.”
“Hii ni ishara nzuri na kwamba nafasi ya ushindi ni kubwa na hivi karibuni bila shaka tutampata mshindi”
“Sportpesa inawakaribisha wateja wapya na endelevu kuendelea kucheza Jackpot kubwa na kujipatia ushindi”.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/32dRdUP best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MKULIMA ASHINDA JACKPOT BONUS YA MILIONI 10. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/12/mkulima-ashinda-jackpot-bonus-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 23.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
    Our footy writer previews four eye-catching 2018 World Cup qualifiers that are worth a dabble.  Club football goes on hold as the interna...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
Copyright Viral Sports: MKULIMA ASHINDA JACKPOT BONUS YA MILIONI 10