SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kwamba barua inayosambaa mitandaoni ikidaiiwa imetoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kusitisha udhamini wa GSM katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara ni ya kufoji.
Jioni ya leo ilisambaa barua mitandaoni ikionyesha imetoka CAF ikiigiza TFF kutoweka mabango ya wadhamini wapya wa Ligi Kuu, kampuni ya GSM katika mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Barua hiyo ilisema ni kufuatia malalamiko kutoka klabu ya Simba SC juu ya udhamini wa GSM, ambao pia ni wadhamini wa wapinzani wao, Yanga.
Awali, Simba iliiandikia barua Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) kuhoji juu ya mkataba wa udhamini wa kampuni ya GSM katika Ligi Kuu huku pia wakiwa wadhamini wa wapinzani wao, Yanga SC.
Katika barua hiyo iliyosainiwa na Mtendaji Mkuu wa Simba, klabu hiyo ilisema haifahamu kwa undani juu ya mkataba huo wao watanufaika vipi zaidi tu ya kufahamishwa kutumia nembo ya GSM kwenye tiketi na jezi zao wakati wa mechi za ligi hiyo.
Lakini pia Simba ilisema GSM kuwa wadhamini wa Ligi Kuu wazi inaleta mgongano wa kimslahi kwa sababu ni wadhamini wa Yanga pia, klabu ambayo kwa pamoja na mdhamini wao lengo lao ni kutwaa ubingiwa ligi kama wao.
Novemba 23, mwaka huu GSM iliingia mkataba wa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa dau la Sh. Bilioni 2.1 kwa miaka miwili.
Na barua iliyodaiwa kutoka CAF leo imeagiza matumizi yote ya nembo za mdhamini huyo mpya yasitishwe hadi hapo itakapoifanyia kazi kesi hiyo na kutoa uamuzi.
Mapema leo, kocha wa Simba, Mspaniola Pablo Franco Martin aligoma kushiriki mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa kesho kwa sababu ya kuwepo mabango ya GSM nyuma ya meza.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/337FIPh
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TFF YASEMA BARUA YA CAF KUIZUIA GSM NI FEKI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/12/tff-yasema-barua-ya-caf-kuizuia-gsm-ni.html. Terimakasih atas perhatiannya.