KLABU ya Azam FC imeachana na kipa wake, Mganda Mathias Kigonya baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
Mara baada ya kumalizika kwa msimu huu, Kigonya alikuwa amebakiza miezi sita kwenye mkataba wake na akatuomba anataka kuondoka kutafuta changamoto sehemu nyingine na tukafikia makubaliano ya kuachana.
"Tunapenda kumshukuru Kigonya, kwa mchango wake alioutoa kwenye klabu yetu kwa kipindi chote tokea alipojiunga nasi Januari mwaka jana, akitokea Forest Rangers ya Zambia," imesema taarifa ya Azam FC.
Aidha, Azam FC imemrejesha aliyewaji kuwa mchezaji na kocha wake Msaidizi, Kali Ongala safari hii akipewa jukumu la kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, yaani feetness coach.
Azam FC tayari imesajili wachezaji wapya wanne ambao ni kiungo mshambuliaji, Cleophace Mkandala, kwa mkataba wa mwaka mmoja kutoka Dodoma Jiji, viungo washambuliaji, Kipre Junior na Tape Edinho kutoka Ivory Coast na kiungo mkabaji kutoka Nigeria, Isah Ndala.
Azam FC imeimarisha benchi la ufundi kwa KI muajiri kocha mpya wa makipa, Mspaniola, Dani Cadena ambaye amewahi kufundisha klabu za Sevilla na Real Betis za Hispania na nyingine za China na Asaudi Arabia akiwa na uzoefu mkubwa na elimu ya juu ya Shirikisho la Soka la Ulaya UEFA.
Usajili wa safari hii Azam FC unafanya na mmiliki wa timu, Yussuf Bakhresa kwa kushirikiana na Mtendaji Mkuu, Abdukkarim Amin ‘Popat’.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/jdgcTMU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AZAM FC YAMTEMA KIGONYA, YAMREJESHA KALI ONGALA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/07/azam-fc-yamtema-kigonya-yamrejesha-kali.html. Terimakasih atas perhatiannya.