MSHAMBULIAJI wa zamani wa Pamba ya Mwanza na Simba SC, John Makelele ‘Ziga Zag’ (pichani kushoto) amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Muhimbili akiwa ana umri wa miaka 61.
Kwa mujibu wa mke wa marehemu Salome, marehemu ameacha watoto watano ambao ni Happy (42), Esther (38), Jastaz (32), Francis (29) na Elizabeth (22).
Salome amesema mazishi yatafanyika Jumanne nyumbani kwao, kijiji cha Mtakuja huko Moshi mkaoni Kilimanjaro.
Makelele ambaye pia amcheza timu ya taifa, alihamishiwa Muhimbili kwa matibabu wiki iliyopita akitokea hospitali ya Arusha baada ya hali yake kubadilika nyumbani kwake Manyara, alipokuwa anaishi na familia yake kufuatia kustaafu kazi benki ya CRDB.
Enzi za uhai wake, Makelele atakumbukwa zaidi baada ya kufunga bao la pili dakika ya 58 akimchambua kipa Sahau Kambi, marehemu pia Julai 23, mwaka 1988, Simba ikishinda 2-1 dhidi ya Yanga na kunusurika kushuka Daraja.
Bao la kwanza la Simba lilifungwa na Edward Chumila, marehemu pia dakika ya 21, wakati la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Issa Athumani dk. 36.
Mungu ampumzishe kwa amani marehemu John Makelele. Amin.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/JtjFCRI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms