MWANARIADHA Alphonse Felix Simbu ameshinda Tuzo mbili za Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Mwanariadha Bora wa Kiume na Mwanamichezo Bora wa Mwaka 2022.
Katika sherehe hizo zilizofanyika usiku wa jana ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam, mshambuliaji wa Yanga Princess, Clara Luvanga ameshinda tuzo mbili pia, Mwanamichezo Bora wa Kike na Mwanasoka Bora wa Kike.
Tuzo nyingine ni Aishi Manula (Mwanasoka Bora Mwanaume 2022), Failuna Abdi (Mwanariadha Bora wa Kike 2022), Ibrah Class (Bondia Bora Ngumi za Kulipwa 2022), Rehema Suleiman Said (Mchezaji Bora wa Tenisi kwa Walemavu) na Sophia Latiff (Muogeleaji Bora).
Aidha, timu za Taifa za Kuogelea na Soka ya Walemavu 'Tembo Warriors' pamoja na klabu ya Simba Queens nazo zilikabidhiwa tuzo kwa kuiwakilisha nchi vizuri mwaka jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan alikabidhiwa Tuzo kwa mchango wake mkubwa kwenye Michezo, Sanaa na Uatamduni nchini.
Tuzo yake ilipokewa na na mgeni rasmi, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Pindi Chana aliyeongozana na Naibu Waziri wake, Hamis Mwinjuma 'Mwana FA', Profesa Kitila Mkumbo pamoja na Mwenyekiti wa BMT, Leodegar Tenga.
Kampuni ya Azam Media Limited nayo ilipewa tuzo maalum kwa mchango wao mkubwa kwenye Sekta ya Michezo, Sanaa na Uatamduni nchini, ambayo ilipokewa na Afisa wake Mwendeshaji Mkuu, Yahya Mohamed.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/wdhzQil
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms