BAO la kiungo Mzambia, Clatous Chama Dalila ya 45 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Vipers ya Uganda katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unaifanya Simba SC ifikishe pointi sita na kusogea nafasi ya pili, nyuma ya Raja Casablanca yenye pointi 12 na mbele ya Horoya yenye pointi nne na Vipers pointi moja baada ya wote kucheza mechi nne.
Ushindi huo unaweka hai matumaini ya Simba SC kwenda Robo Fainali ya michuano hiyo kuelekea mechi mbili za mwisho dhidi ya Horoya Dar es Salaam Machi 18 na Raja Casablanca nchini Morocco Machi 31.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Xehg20G
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC YABISHA HODI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2023/03/simba-sc-yabisha-hodi-robo-fainali-ligi.html. Terimakasih atas perhatiannya.