NYOTA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Clatous Chama na Kennedy Musonda wametokea benchi kuichezea Zambia dakika za mwishoni ikishinda 2-0 dhidi ya Lesotho kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Katika mchezo huo wa Kundi H uliofanyika Uwanja wa Volkswagen Dobsonville Jijini Johannesburg, Afrika Kusini - mabao ya Chipolopolo yote yamefungwa na mshambuliaji wa Leicester City, Patson Daka dakika ya 14 na 69.
Kiungo wa Simba, alianza kuingia dakika ya 81 kuchukua nafasi ya Kings Kangwa wa Red Star Belgrade ya Serbia, akafuatia mshambuliaji wa Yanga, Musonda kuingia dakika ya 90 kuchukua nafasi ya mfungaji wa mabao, Patson Daka.
Ushindi wa leo unaifanya Zambia ifikishe pointi tisa katika mchezo wa nne na kupanda kileleni ikiizidi Ivory Coast pointi mbili ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/dWkAO13
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CHAMA NA MUSONDA WATOKEA BENCHI ZAMBIA YASHINDA 2-0. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2023/03/chama-na-musonda-watokea-benchi-zambia.html. Terimakasih atas perhatiannya.