WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana ametoa Rai kwa Watanzania waendelee kujitokeza na kushiriki mashindano ya mbio za Baiskeli yanayofanyika ndani na nje ya nchi.
Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa rai hiyo jana Aprili 01, 2023 jijini Dar es Salaam alipokutana na Mwendesha Baiskeli Bora Duniani, Mike Leszek Mikulski kutoka nchini Poland. Leszek amekuja nchini Tanzania kuweka rekodi ya kupanda Mlimani Kilimanjaro na kushuka kwa muda wa saa 24 zoezi atakalolifanya mwezi Septemba na Oktoba, 2023.
"Natoa wito kwa Watanzania wanaopenda na kushiriki mchezo wa Baiskeli wajisajili katika Chama Cha Baiskeli maana ni mchezo ambao una fursa mbalimbali, na sisi Serikali tumedhamiria kuunga mkono na kuitangaza nchi yetu kupitia Utamaduni, Sanaa na Michezo,” amesema Balozi Dkt. Pindi Chana.
Kwa upande wake Leszek ameishukuru Serikali kwa kupata nafasi ya kufanya mchezo huo nchini Tanzania kupitia Taasisi yake ya "Unaweza Project" ambapo amesema lengo lake ni kufungua milango kwa Watanzania kupenda mchezo huo, kuongeza kujiamini na kusaidia nchi yao.
Zaidi ya watu 200 wakiwemo Wanahabari wa Kimataifa na Kamati ya Dunia ya Guiness watashiriki kushuhudia rekodi hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/vfZQeaA
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms