• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ▼  November (49)
      • NAMUNGO FC 0-2 YANGA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • YANGA YAZINDUKIA KUSINI MWA NCHI, YAICHAPA NAMUNGO...
      • JKT TANZANIA YAWAKANDA FOUNTAIN GATE 1-0 PALE PALE...
      • AZAM FC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 CHAMAZI
      • SIMBA SC YAANZA VYEMA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO ...
      • GAMONDI AONDOKA TANZANIA AKIIACHIA YANGA ‘UJUMBE M...
      • YANGA 'BADO GONJWA' YABABULIWA 2-0 NA AL HILAL NYU...
      • AUSSEMS AONDOLEWA SINGIDA BAADA YA MECHI TATU BILA...
      • TABORA UNITED YATOKA NYUMA KUTOA SARE NA SINGIDA 2...
      • JKT TANZANIA YAICHAPA PRISONS 1-0 MBWENI
      • TP MAZEMBE MALKIA WAPYA WA KABUMBU BARANI AFRIKA, ...
      • FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUG...
      • MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 UWANJA WA LAKE TA...
      • SIMBA SC YASITISHA MKATABA NA CEO MNYARWANDA, MWAN...
      • TWIGA STARS YAPANGWA NA MABINGWA WATETEZI BANYANA ...
      • SIMBA YAICHAPA PAMBA 1-0 KIRUMBA NA KUJIPA 'SPACE'...
      • YANGA NA COPCO, SIMBA NA KILIMANJARO, AZAM NA IRIN...
      • FOX DIVAS YA MARA YATWAA UBINGWA WA BETPAWA NBL WA...
      • TASWA YAIPONGEZA TFF NA TAIFA STARS KUFUZU FAINALI...
      • WAFURIKA JANGWANI KUNUNUA JEZI MPYA ZA YANGA LIGI ...
      • SIMBA SC YATAMBULISHA JEZI ZA MAKUNDI KOMBE LA SHI...
      • RAIS DK SAMIA AWAZAWADIA TAIFA STARS SH MILIKONI 7...
      • MSUVA AIPELEKA TAIFA STARS AFCON 2025
      • DB LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA N...
      • DIARRA, SIMBA NA YANGA ZATUPWA NJE TANO BORA YA TU...
      • YANGA SC YAENDELEA KUBORESHA BENCHI LA UFUNDI
      • DAR CITY, ABC KATIKA MCHUANO MKALI KUWANIA UBINGWA...
      • TAIFA STARS YAFUFUA MATUMAINI YA KUFUZU AFCON BAAD...
      • RAMOVIC WA TS GALAXY AFRIKA KUSINI NDIYE KOCHA MPY...
      • BODI YA LIGI YAMSINDIKIZA GAMONDI NA ‘KIFUNGO’ NA ...
      • YANGA YAMFUTA KAZI GAMONDI NA MSAIDIZI WAKE MSENEGAL
      • KALI ONGALA KOCHA MPYA KMC
      • BETPAWA YATOA MILIONI 194 KUDHAMINI LİGİ YA TAIFA ...
      • CHEKA TU: LEONBET EDITION YASIMAMISHA JIJI KWA BUR...
      • YANGA SC YAHAMA CHAMAZI, SASA KUBANANA NA SIMBA UW...
      • MAROUF TCHAKEI MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA Lİ...
      • YANGA SC 1-3 TABORA UNITED (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • AZİZ Kİ AKOSA PENALTI YANGA YAPIGWA 3-1 CHAMAZI
      • SIMBA SC 4-0 KMC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • JEAN CHARLES AHUA APIGA MBILI SIMBA YAITANDIKA KMC...
      • MSUVA AREJESHWA TAIFA STARS KWA AJILI YA ETHIOPOA ...
      • PAMBA YAZINDUKA NA KUICHAPA FOUNTAIN GATE PUNGUFU ...
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA DODOMA JIJI 2-1 KAITABA
      • CHUKWU AFUNGA PENALTI TABORA UNITED YAILAZA MASHUJ...
      • TANZANIA PRISONS YAWAKANDA KEN GOLD 1-0 SOKOINE
      • SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SULUHU KWA COASTAL U...
      • AZAM FC YAINYAMAZISHA YANGA, YAICHAPA 1-0 SILLAH A...
      • MASHUJAA FC 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • MUKWALA AFUNGA DAKİKA YA MWISHO SIMBA YAICHAPA MAS...
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » BETPAWA YATOA MILIONI 194 KUDHAMINI LİGİ YA TAIFA KIKAPU

BETPAWA YATOA MILIONI 194 KUDHAMINI LİGİ YA TAIFA KIKAPU

KAMPUNI maarufu ya michezo ya kubashiri, betPawa, imetangaza udhamini wa Shilingi 194,880,000 kwa Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL), inayoendelea sasa katika mkoa wa Dodoma.
Afisa Mkuu wa Biashara wa betPawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mchezo, Ntoudi Mouyelo, alisema waliamua kudhamini mpira wa kikapu nchini ili kusaidia kuukuza mchezo huo.
Mouyelo alieleza kuwa Sh130 million zimetengwa kwa ajili ya “Locker Room Bonus” na Sh14 milioni kwa zawadi za ushindi, na fedha zinazobaki zitasaidia usimamizi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF).

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Michael Kadebe (wa pili kushoto) na Afisa Mkuu wa Biashara wa betPawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mchezo, Ntoudi Mouyelo (wa pili kulia) wakisaini mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL).
Alisema kuwa betPawa ilichagua kudhamini ligi hiyo na kusaidia TBF kutokana na utawala wake mzuri na uwazi.
“Kampuni yetu imejizatiti katika kukuza mchezo pamoja na kusaidia jamii,” aliongeza Mouyelo. Mouyelo pia alianzisha “Locker Room Bonus” katika NBL, mfumo wa zawadi kwa wachezaji, ambapo wachezaji 12 na maafisa wanne wa timu inayoshinda wanapokea Sh140,000 kila mmoja.
Mpango huu wa Locker Room Bonus umetekelezwa na betPawa katika michezo mbalimbali na nchi za Afrika.
"Tunafurahia kuleta bonasi maarufu ya kuthamini wachezaji hapa Tanzania. Hii ni hatua muhimu kuelekea kutambua kazi na kujitolea kwa wanaoongoza mchezo: wachezaji,” alisema Mouyelo.
Bonasi hiyo italipwa moja kwa moja kwenye akaunti za simu za wachezaji mara baada ya ushindi na kabla ya wachezaji na wafanyakazi kuondoka uwanjani, hivyo jina “Locker Room Bonus.”
Mbali na Locker Room Bonuses, betPawa imejitolea Shilingi milioni 14 kugawanywa kwa wachezaji bora na timu itakayoshinda mwishoni mwa msimu wa 2025.
Kama sehemu ya udhamini, betPawa imekuwa Mdhamini Rasmi wa Kubashiri wa Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu.
"Tunalenga kuukuza mpira wa kikapu katika kanda hii, kama tulivyofanya Rwanda kupitia ushirikiano kama huu na FERWABA (Shirikisho la Mpira wa Kikapu Rwanda)," alisema Mouyelo.
Mouyelo aliongeza kuwa betPawa itasaidia mshindi wa NBL katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika inayofuata.
Akizungumza kwa niaba ya Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Hamisi Mwinjuma (maarufu kama Mwana FA), Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Tamba Boniface, alisema msaada huo unaonesha imani ya betPawa kwa vipaji, uwezo, na mustakabali wa mpira wa kikapu nchini Tanzania.
Mwinjuma alisema kuwa kudhamini ligi na kuanzisha mipango kama Locker Room Bonus kunachochea ndoto za wanamichezo chipukizi na kuendeleza utamaduni wa michezo unaokua nchini Tanzania.
“Ushirikiano huu unalingana kikamilifu na malengo ya wizara yetu. Tunakusudia kukuza mfumo wa michezo unaowawezesha vipaji vya vijana kuendelea na kuinua hadhi ya michezo ya Tanzania. 
Uwekezaji kama huu kutoka betPawa unathibitisha msingi wa wanamichezo kutuwakilisha kwenye majukwaa makubwa zaidi,” alisema Mwinjuma.
Alibainisha kuwa NBL imekuwa sehemu muhimu ya mpira wa kikapu wa Tanzania, ikiwapa wachezaji jukwaa la ushindani la kuonyesha ujuzi wao na kuhamasisha kizazi kipya cha mashabiki.
“Kwa ushirikiano huu, tunatarajia NBL kukua kwa hadhi, kuvutia mashabiki zaidi na kukuza vipaji kote nchini,” alisema Mwinjuma.
Kwa upande wake, Rais wa TBF, Michael Kadebe, aliishukuru betPawa kwa udhamini na kuahidi kutumia fedha hizo kama zilivyoelekezwa.


Afisa Mkuu wa Biashara wa betPawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mchezo, Ntoudi Mouyelo, akizungumza mara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kudhamini Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL). 

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Michael Kadebe  akizungumza mara  baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kudhamini Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu
Meneja Masoko wa betPawa Kanda ya Afrika Mashariki, Borah Ndanyungu (kulia) akizungumza mara  baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kudhamini Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu


Wafanyakazi wa kampuni ya betPawa wakiwa katika picha ya pamoja mara  baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kudhamini Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/ZucQRpG best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BETPAWA YATOA MILIONI 194 KUDHAMINI LİGİ YA TAIFA KIKAPU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/11/betpawa-yatoa-milioni-194-kudhamini.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 09.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
Copyright Viral Sports: BETPAWA YATOA MILIONI 194 KUDHAMINI LİGİ YA TAIFA KIKAPU