• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ▼  November (49)
      • NAMUNGO FC 0-2 YANGA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • YANGA YAZINDUKIA KUSINI MWA NCHI, YAICHAPA NAMUNGO...
      • JKT TANZANIA YAWAKANDA FOUNTAIN GATE 1-0 PALE PALE...
      • AZAM FC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 CHAMAZI
      • SIMBA SC YAANZA VYEMA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO ...
      • GAMONDI AONDOKA TANZANIA AKIIACHIA YANGA ‘UJUMBE M...
      • YANGA 'BADO GONJWA' YABABULIWA 2-0 NA AL HILAL NYU...
      • AUSSEMS AONDOLEWA SINGIDA BAADA YA MECHI TATU BILA...
      • TABORA UNITED YATOKA NYUMA KUTOA SARE NA SINGIDA 2...
      • JKT TANZANIA YAICHAPA PRISONS 1-0 MBWENI
      • TP MAZEMBE MALKIA WAPYA WA KABUMBU BARANI AFRIKA, ...
      • FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUG...
      • MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 UWANJA WA LAKE TA...
      • SIMBA SC YASITISHA MKATABA NA CEO MNYARWANDA, MWAN...
      • TWIGA STARS YAPANGWA NA MABINGWA WATETEZI BANYANA ...
      • SIMBA YAICHAPA PAMBA 1-0 KIRUMBA NA KUJIPA 'SPACE'...
      • YANGA NA COPCO, SIMBA NA KILIMANJARO, AZAM NA IRIN...
      • FOX DIVAS YA MARA YATWAA UBINGWA WA BETPAWA NBL WA...
      • TASWA YAIPONGEZA TFF NA TAIFA STARS KUFUZU FAINALI...
      • WAFURIKA JANGWANI KUNUNUA JEZI MPYA ZA YANGA LIGI ...
      • SIMBA SC YATAMBULISHA JEZI ZA MAKUNDI KOMBE LA SHI...
      • RAIS DK SAMIA AWAZAWADIA TAIFA STARS SH MILIKONI 7...
      • MSUVA AIPELEKA TAIFA STARS AFCON 2025
      • DB LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA N...
      • DIARRA, SIMBA NA YANGA ZATUPWA NJE TANO BORA YA TU...
      • YANGA SC YAENDELEA KUBORESHA BENCHI LA UFUNDI
      • DAR CITY, ABC KATIKA MCHUANO MKALI KUWANIA UBINGWA...
      • TAIFA STARS YAFUFUA MATUMAINI YA KUFUZU AFCON BAAD...
      • RAMOVIC WA TS GALAXY AFRIKA KUSINI NDIYE KOCHA MPY...
      • BODI YA LIGI YAMSINDIKIZA GAMONDI NA ‘KIFUNGO’ NA ...
      • YANGA YAMFUTA KAZI GAMONDI NA MSAIDIZI WAKE MSENEGAL
      • KALI ONGALA KOCHA MPYA KMC
      • BETPAWA YATOA MILIONI 194 KUDHAMINI LİGİ YA TAIFA ...
      • CHEKA TU: LEONBET EDITION YASIMAMISHA JIJI KWA BUR...
      • YANGA SC YAHAMA CHAMAZI, SASA KUBANANA NA SIMBA UW...
      • MAROUF TCHAKEI MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA Lİ...
      • YANGA SC 1-3 TABORA UNITED (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • AZİZ Kİ AKOSA PENALTI YANGA YAPIGWA 3-1 CHAMAZI
      • SIMBA SC 4-0 KMC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • JEAN CHARLES AHUA APIGA MBILI SIMBA YAITANDIKA KMC...
      • MSUVA AREJESHWA TAIFA STARS KWA AJILI YA ETHIOPOA ...
      • PAMBA YAZINDUKA NA KUICHAPA FOUNTAIN GATE PUNGUFU ...
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA DODOMA JIJI 2-1 KAITABA
      • CHUKWU AFUNGA PENALTI TABORA UNITED YAILAZA MASHUJ...
      • TANZANIA PRISONS YAWAKANDA KEN GOLD 1-0 SOKOINE
      • SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SULUHU KWA COASTAL U...
      • AZAM FC YAINYAMAZISHA YANGA, YAICHAPA 1-0 SILLAH A...
      • MASHUJAA FC 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • MUKWALA AFUNGA DAKİKA YA MWISHO SIMBA YAICHAPA MAS...
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » DB LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA NBL LEO

DB LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA NBL LEO


FAINALI ya wanawake  mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa kikapu nchini  “betPawa NBL”  itafanyika keshom Jumatano Novemba 20, 2024 kwa mechi ya DB Lioness  na Fox Divers kwenye uwanja wa Chinangali, mkoani Dodoma.
Fainali hiyo imepangwa kuanza saa 12.00 jioni inatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutoka kwa wachezaji wa timu zote mbili.
Fox Divaz wamefuzu hatua ya fainali kufuatia ushindi dhidi ya JKT Stars wa 75- 62 wakati DB Lioness imetinga hatua hiyo baada ya kuifunga Vijana Queens kwa 48-44.
Kabla ya mchezo huo wa fainali kutakuwa na michezo miwili. Mchezo wa kwanza utakuwa wa kumsaka mshindi wa tatu kati ya Viipers Queens dhidi ya Orkeeswa kuanzia sa 10.00 jini kwenye uwanja wa Chinangali A na kufuayiwa na mchezo wa “Classification” kati ya Viipers Queens dhidi ya Orkeeswa kwenye uwanja wa Chnangali B. 
Washindi kwa upande wa wanaume na wanawake watazawadiwa Sh2.8 milioni wakati washindi wa pili watazawadiwa Sh1.4 milioni. 
Fedha hizo zimetolewa na wadhamini wakuu, betPawa ambapo zaidi ya Sh144 milioni zimetengwa kwa ajili ya kugharimia gharama mbalimbali pamoja na zawadi.
Washindi wa tatu kwa wanawake na wanaume watazawadiwa Sh700, 000 ambapo wachezaji bora wa mashindano (MVP) kwa wanawake na wanaume kila mmoja atazawadiwa Sh700, 000.
Pia kutakuwa na zawadi ya wafungaji bora, mabeki bora na “best rookie” kwa wanawake na wanaume ambapo watazawadiwa Sh420, 000 kila mmoja na zawadi ya ‘sportsmanship kwa wanawake na wanaume itakuwa Sh280,000.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa kikapu nchini (TBF), Mwenze Kabinda alisema  kuwa wanatarajia ushindani mkali katika michezo hiyo ya mwisho na kwani kila timu imeundwa na wachezaji nyota.
“Si unajua kuwa kila timu inayoshinda, wachezaji  12 na viongozi wanne  wanapewa fedha taslimu, Sh140,000 kutoka kwa wadhamini, wakuu, betPawa. 
Mpaka sasa, wachezaji wote ambao timu zao zimeshinda wamefaidika na kaisi hicho cha fedha,” alisema Kabinda.
Meneja wa Masoko wa Kanda ya Afrika Mashariki wa betPawa, Borah Ndanyungu alisema kuwa wanajisikia fahari kuwa miongoni mwa wadau wa maendeleo ya michezo nchini hasa mpira wa kikapu.
“Tumeweka bonasi kwa timu ambayo inashinda (Locker Room Bonus) kwa lengo la kuongeza hamasa. Tunashukuru kuona hamasa imekuwa kubwa na ushindani pia,” alisema Borah.
Alisema kuwa wachezaji wameanza kuona tija ya kushiriki katika mchezo huo ambao ni miongoni mwa michezo yenye mashabiki wengi si tu Tanzania, duniani kote.
“Kampuni yetu, betPawa imedhamiria kuleta maendeleo chanya ya mchezo na tunaamini tutafikia lengo hilo,” alisema.
Wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya wanawake wakichuana katika mechi mbalimbali za ligi ya betPawa NBL mjini Dodoma.




from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/17mjwxy best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang DB LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA NBL LEO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/11/db-lioness-fox-divaz-kuwania-ubingwa-wa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 04.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Rr0NtG3
Copyright Viral Sports: DB LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA NBL LEO