• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ▼  November (49)
      • NAMUNGO FC 0-2 YANGA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • YANGA YAZINDUKIA KUSINI MWA NCHI, YAICHAPA NAMUNGO...
      • JKT TANZANIA YAWAKANDA FOUNTAIN GATE 1-0 PALE PALE...
      • AZAM FC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 CHAMAZI
      • SIMBA SC YAANZA VYEMA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO ...
      • GAMONDI AONDOKA TANZANIA AKIIACHIA YANGA ‘UJUMBE M...
      • YANGA 'BADO GONJWA' YABABULIWA 2-0 NA AL HILAL NYU...
      • AUSSEMS AONDOLEWA SINGIDA BAADA YA MECHI TATU BILA...
      • TABORA UNITED YATOKA NYUMA KUTOA SARE NA SINGIDA 2...
      • JKT TANZANIA YAICHAPA PRISONS 1-0 MBWENI
      • TP MAZEMBE MALKIA WAPYA WA KABUMBU BARANI AFRIKA, ...
      • FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUG...
      • MASHUJAA YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 UWANJA WA LAKE TA...
      • SIMBA SC YASITISHA MKATABA NA CEO MNYARWANDA, MWAN...
      • TWIGA STARS YAPANGWA NA MABINGWA WATETEZI BANYANA ...
      • SIMBA YAICHAPA PAMBA 1-0 KIRUMBA NA KUJIPA 'SPACE'...
      • YANGA NA COPCO, SIMBA NA KILIMANJARO, AZAM NA IRIN...
      • FOX DIVAS YA MARA YATWAA UBINGWA WA BETPAWA NBL WA...
      • TASWA YAIPONGEZA TFF NA TAIFA STARS KUFUZU FAINALI...
      • WAFURIKA JANGWANI KUNUNUA JEZI MPYA ZA YANGA LIGI ...
      • SIMBA SC YATAMBULISHA JEZI ZA MAKUNDI KOMBE LA SHI...
      • RAIS DK SAMIA AWAZAWADIA TAIFA STARS SH MILIKONI 7...
      • MSUVA AIPELEKA TAIFA STARS AFCON 2025
      • DB LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA BETPAWA N...
      • DIARRA, SIMBA NA YANGA ZATUPWA NJE TANO BORA YA TU...
      • YANGA SC YAENDELEA KUBORESHA BENCHI LA UFUNDI
      • DAR CITY, ABC KATIKA MCHUANO MKALI KUWANIA UBINGWA...
      • TAIFA STARS YAFUFUA MATUMAINI YA KUFUZU AFCON BAAD...
      • RAMOVIC WA TS GALAXY AFRIKA KUSINI NDIYE KOCHA MPY...
      • BODI YA LIGI YAMSINDIKIZA GAMONDI NA ‘KIFUNGO’ NA ...
      • YANGA YAMFUTA KAZI GAMONDI NA MSAIDIZI WAKE MSENEGAL
      • KALI ONGALA KOCHA MPYA KMC
      • BETPAWA YATOA MILIONI 194 KUDHAMINI LİGİ YA TAIFA ...
      • CHEKA TU: LEONBET EDITION YASIMAMISHA JIJI KWA BUR...
      • YANGA SC YAHAMA CHAMAZI, SASA KUBANANA NA SIMBA UW...
      • MAROUF TCHAKEI MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA Lİ...
      • YANGA SC 1-3 TABORA UNITED (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • AZİZ Kİ AKOSA PENALTI YANGA YAPIGWA 3-1 CHAMAZI
      • SIMBA SC 4-0 KMC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • JEAN CHARLES AHUA APIGA MBILI SIMBA YAITANDIKA KMC...
      • MSUVA AREJESHWA TAIFA STARS KWA AJILI YA ETHIOPOA ...
      • PAMBA YAZINDUKA NA KUICHAPA FOUNTAIN GATE PUNGUFU ...
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA DODOMA JIJI 2-1 KAITABA
      • CHUKWU AFUNGA PENALTI TABORA UNITED YAILAZA MASHUJ...
      • TANZANIA PRISONS YAWAKANDA KEN GOLD 1-0 SOKOINE
      • SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SULUHU KWA COASTAL U...
      • AZAM FC YAINYAMAZISHA YANGA, YAICHAPA 1-0 SILLAH A...
      • MASHUJAA FC 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • MUKWALA AFUNGA DAKİKA YA MWISHO SIMBA YAICHAPA MAS...
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » CHEKA TU: LEONBET EDITION YASIMAMISHA JIJI KWA BURUDANI YA KIBABE

CHEKA TU: LEONBET EDITION YASIMAMISHA JIJI KWA BURUDANI YA KIBABE

 

MASHABIKI wakubashiri wa kampuni inayotamba ya LEONBET Tanzania walipata burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu na wachekeshaji maarufu nchini kwenye uzinduzi rasmi  wa kampuni hiyo uliopewa jina la CHEKA TU: LEONBET EDITION.
Burudani hiyo ya kisasa ilifanyika Novemba 8, 2024 kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki.
Mashabiki wa  vichekesho nchini walipata burudanikutoka kwa wakali wa Cheka Tu, akiwemo Coy Mzungu, Ndaro, Asma, Mtumishi Obama, na Chard Talent, ambaowalihakikisha kuwa kila aliyehudhuria anatabasamu nakufurahia uzinduzi huo.
Burudani zaidi zilifuatia kwa muziki wa moja kwa mojakutoka kwa wasanii wakubwa wa Tanzania, akiwemoMaua Sama na Jaivah, ambao walifanya tamasha kuwa la kukumbukwa kwa mashabiki wote.

Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Afrika wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya LEONBET, Jérôme J. Dufourg (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki ambao uliopambwa na burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu ya wachekeshaji maarufu nchini uliopewa. Uzinduzi huo ulijulikana kwa jina la ‘CHEKA TU: LEONBET EDITION’. Kushoto ni meneja mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana

Katika tukio hilo, Meneja Mkuu wa LEONBET TumainiMaligana pamoja  Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Afrika kwa LEONBET, Jérôme J. Dufourg katikaburudani hiyo.
Viongozi hao wakuu wa LEONBET Tanzania waliwashukuru  mashabiki wote waliofika katika uzinduzihuo na kuwapa sapoti kubwa.
Maligana, alitoa shukrani za dhati kwa wote waliojitokezana kwa kuunga mkono uzinduzi wa brand yao. 
“Ningependa kuchukua muda mfupi tu kuitambulishabrand yetu ya LEONBET - Simba La Mikeka. LEONBET ni kampuni ya michezo ya ubashiri iliyoingia rasmiTanzania ili kuambatanisha burudani ya kubashiri kwenyemichezo na slots na kutoa fursa ya kutengeneza pesa,” alisema,
Kwa upande wake, Dufourg, akiwakilisha mtazamo wakimataifa wa LEONBET, alisisitiza dhamira ya kampunihiyo ya kuleta uzoefu bora wa michezo ya kubashiri kwaTanzania.
“Tunafuraha sana kuja Tanzania, tukijua kuwa tuna historia na uzoefu wa miaka 15 katika sekta hii, na tunayodhamira ya kutoa huduma ya kiwango cha juu kwa watejawetu. Tunaleta si tu ubashiri bali burudani ya hali ya juukwa wateja wetu nchini Tanzania,” alisema Dufourg.
Dufourg aliendelea kueleza jinsi LEONBET inavyowekamsisitizo mkubwa kwenye huduma bora za wateja. 
“Tunataka kuhakikisha kwamba mteja anafurahia uzoefuwake bila tatizo lolote. Kutoka kwa malipo ya haraka, tovuti yenye kasi, hadi bonasi nyingi, tuko hapa ilikurahisisha na kuboresha kila sehemu ya uzoefu wakubeti na kucheza kasino,” aliongeza.
Maligana na Dufourg walifurahia kuwakilisha LEONBETkama sehemu ya mtindo wa maisha kwa wapenzi wamichezo na burudani. 
Maligana, alieleza kuwa, kwa kujiunga na LEONBET, wateja wanaweza kufurahia ofa mbalimbali mara tuwanapojisajili. “Tuna ofa kibao kwa ajili yako ukijiungana LEONBET. Ukijisajili tu, unapokea ofa ya kipekee!” alisema kwa tabasamu, akiwasihi washiriki kuchangamkiafursa hiyo.
Alisema kuwa uzinduzi wa LEONBET umeacha alamakubwa kwa mashabiki wa vichekesho na wapenzi wamichezo ya kubashiri nchini Tanzania, na kuthibitishakuwa LEONBET ni zaidi ya kubeti—ni sehemu yaburudani na maisha kwa watanzania wote.


Meneja Mkuu wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya LEONBET, Tumaini Maligana (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki ambao ulipambwa na burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu kutoka kwa wachekeshaji maarufu nchini. Uzinduzi huo uliopewa jina la “CHEKA TU: LEONBET EDITION. Kulia ni  Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Afrika wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya  LEONBET, Jérôme J. Dufourg.


Wachekeshaji maarufu wa “CHEKA TU”, Ndaro ambaye ni balozi wa LEONBET akiwa na Coy Mzungu wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni uliofanyika Novemba 8 kwenye  ukumbi wa Warehouse Masaki.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/XuFWC19 best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CHEKA TU: LEONBET EDITION YASIMAMISHA JIJI KWA BURUDANI YA KIBABE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/11/cheka-tu-leonbet-edition-yasimamisha.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 06.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Rr0NtG3
Copyright Viral Sports: CHEKA TU: LEONBET EDITION YASIMAMISHA JIJI KWA BURUDANI YA KIBABE