Na Mwandishi Wetu, MBEYA
KIPA mpya wa Yanga kutoka Prisons, Benno Kakolanya leo atadaka kwa mara ya kwanza dhidi ya timu yake ya zamani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Amissi Joselyn Tambwe ataanzia benchi Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm amefanya mabadiliko makubwa kutoka kikosi kilichlambwa 2-1 na Mbeya City katikati ya wiki, leo akiwaanzisha pamoja washambuliaji wa zamani wa FC Platinums ya Zimbabwe, Mzambia Obrey Chirwa na Mzimbabwe Donald Ngoma.
Benno Kakolanya leo atadaka kwa mara ya kwanza Yanga ikimenyana na timu yake ya zamani, Prisons Uwanja wa Sokoine, Mbeya
Na ajabu zaidi leo ni kwamba, Pluijm amemuanzisha kinda Yussuf Mhilu wakati Juma Mahadhi na kipa aliyesimama langoni dhidi ya Mbeya City akitunguliwa mabao mawili ya mashuti ya mbali, Deo Munishi 'Dida' hata benchi hawapo. Hassan Kessy ameanzishiwa benchi na beki ya kulia leo ameanza Mbuyu Twite na langoni yupo Benno Kakolanya.
Kikosi kamili cha Yanga leo ni; Benno Kakolanya, Mbuyu Twite, Mwinyi Hajji, Vincent Bossou, Kevin Yondan, Thabani Kamusoko, Yussuf Mhilu, Haruna Niyonzima, Donald Ngoma, Obrey Chirwa na Deus Kaseke.
Katike benchi wapo Ally Mustafa 'Barthez', Oscar Joshua, Matheo Anthony, Hassan Kessy, Vincent Andrew, Amissi Tambwe na Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro'.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2fQ4o56
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PLUIJM AFUMUA KIKOSI, KAKOLANYA ANAANZA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/11/pluijm-afumua-kikosi-kakolanya-anaanza.html. Terimakasih atas perhatiannya.