Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
WAKATI mazoezi ya kipangwa kuanza kesho kutwa, baadhi ya nyota wa kikosi cha Mbeya City fc waliokuwa nje ya jiji la Mbeya wanatarajia kuanza kuwasili hii leo tayari kwa kuanza matayarisho ya duru ya pili ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyopangwa kuanza kutimua vumbi Desemba 17.
Kwa mujibu wa Meneja wa Kikosi Geofrey Katepa, awali mazoezi hayo yalipangwa ku anza leo lakini kutokana na sababu kadhaa ikiwemo ruhusa kwa baadhi ya wachezaji ratiba hiyo imesogezwa mbele hadi kesho kutwa.
“Awali alikuwa tuanze mazoezi leo, kumetokea sababu kadhaa, hivyo tumelazimika kusogeza mbele mpaka siku ya jumatano, wachezaji waliokuwa nje ya jiji la Mbeya wengi wanawasili leo, na wale amabao wako hapa wamepewa nafasi ya siku moja kukamilisha mambo kadhaa ya kifamilia na kesho wanatakiwa kuripoti kambini tayari kwa kuanza matayarisho ya duru ya pili” alisema Katepa.
Katika hatua nyingine Meneja Katepa amedokeza kuwa Kocha Mkuu Kinnah Phiri atawasili kesho kutoka nyumbani kwake Mzuzu nchini Malawi ambako alikwenda kwa mapumziko, huku akisistiza kuwa taarifa za usajili wa dirisha dogo na mambo mengine yote taarifa yake itatolewa mwishoni mwa mwezi huu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2gOaWBH
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WACHEZAJI MBEYA CITY WAANZA KUKUSANYIKA KWA KAMBI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/11/wachezaji-mbeya-city-waanza-kukusanyika.html. Terimakasih atas perhatiannya.