MECHI ZIJAZO ZA LIVERPOOL AMBAZO PHILIPPE COUTINHO ATAKOSA...
Leeds United (Nyumbani) Kombe la EFL Robo Fainali - Novemba 29
Bournemouth (Ugenini) Ligi Kuu - Desemba 4
West Ham (Nyumbani) Ligi Kuu - Desemba 11
Middlesbrough (Ugenini) Ligi Kuu - Desemba 14
Everton (Ugenini) Ligi Kuu - Desemba 19
Stoke (Nyumbani) Ligi Kuu - Desemba 27
Manchester City (H) PL - Decemba 31
Sunderland (Ugenini) Ligi Kuu - Januari 2
Kisha Wekundu hao watamenyana na Manchester United Januari 15, mechi ambayo Mbrazil huyo anaweza kurejea
KLABU ya Liverpool imepata ahueni kufuatia habari kwamba nyota wake, Philippe Coutinho atakuwa nje ya Uwanja kwa wiki sita tu.
Mkali huyo wa mabao anasumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu baada ya kuumia kwenye mechi na Sunderland, lakini bahati nzuri mambo si mabaya kama yalivyotarajiwa.
Vipimo vimeonyesha mchezaji huyo hahitaji kufanyiwa upasuaji na maana yake anaweza kurejea kwa ajili ya mchezo wa Liverpool na Manchester United katikati ya Januari.
Mechi zijazo za Liverpool zinatarajiwa kuwa changamoto nzuri kwa kocha Jurgen Klopp, akimenyana na majirani zake wa Merseyside, Everton na washindani wao wa taji, Manchester City. Ikiwa Coutinho atakuwa fiti kabla ya Januari 15, nyota huyo wa Brazil anaweza kuwamo kwenye safari ya Old Trafford kwa mechi dhidi ya kocha Jose Mourinho na mahasimu, Man United.
Coutinho aliumia hivi karibuni katika mchezo kati ya Liverpool na Sunderland, baada ya kugongwa na Didier N'dong.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2fw1iDx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms