Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys, imeanza jana imelazimisha sare ya bila kufungaa na wenyeji Seongnam FC katika ziara yake ya Korea Kusini.
Serengeti ambayo iko huko kwa mwaliko wa Shirikisho la Soka la Korea Kusini, itarejea wiki ijayo na kukutana na mchezo mwingine wa dhidi ya nyota 40 walioteuliwa na Airtel baada ya michuano ya Kampuni hiyo ya simu iliyofanyika mwaka huu kwenye kona mbalimbali nchini kabla ya fainali zake kufanyika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
Serengeti Boys baada ya mechi yao na Seongnam FC katika ziara yake ya Korea Kusini
Serengeti Boys imepata nafasi hiyo kutokana na umahiri wake wa kucheza soka la ushindani kwani kwa kipindi cha mwaka mmoja tu, imeweza kucheza michezo 16 ya kimataifa ambako imekuwa ikifanya vema katika mechi 15 kabla ya 16 iliyopoteza dhidi ya Congo-Brazaville katika michuano ya kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika.
Kikosi cha Serengeti Boys kilichopo huko kinaundwa na makipa Ramadhani Kabwili, Kelvin Kayego na Samwel Brazio; mabeki ni Shomari Ally, Israel Mwenda, Nickson Kibabage, Dickson Job, Ally Msengi na Enrick Vitalis wakati viungo ni Ally Ng’anzi, Shaban Ada, Asad Juma, Issa Makamba huku washambuliaji wakiwa ni Muhsin Makame, Ramadhani Gadaffi, Rashid Chombo, Cyprin Mtesigwa na Mohammed Abdallah.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2g61xWE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SERENGETI BOYS YAPATA SARE UGENINI NA TIMU YA KOREA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/11/serengeti-boys-yapata-sare-ugenini-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.