Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SIMBA SC imepunguza bei ya mchezaji Hassan Ramadhan Kessy kutoka Sh. Bilioni 1.2 hadi Sh. Milioni 200 baada ya kikoa cha juzi ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas amesema leo katika mkutano na Waandishi wa Habari kwamba, japokuwa msuluhishi mteule, Mwenyekiti wa zamani wa TFF enzi za FAT (Chama cha Soka Tanzania), Said El Maamry hakuhudhuria, lakini kikao kilikwenda vizuri.
Lucas alisema kwamba Yanga iliwakilishwa na Kaimu Katibu Mkuu wake, Baraka Deusdedit, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Omar Said na Mawakili Oscar Magolosa na Alex Mushumbusi, wakati Simba iliwakilishwa na Mwenyekiti wake wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Poppe.
“Kwa hali halisi ya uchumi kwa sasa, timu hizo zimezungumza hadi kufikia mwafaka wa kiwango kisichozidi Sh milioni 200 kutoka dola 600,000 (zaidi ya Sh. Bilioni 1.2),”alisema Lucas na kuongeza; “Mazungumzo ya wikiendi hii yanakwenda kukamilisha mvutano wao, kama ambavyo walikubaliana kwenye kikao cha jana (juzi),”.
Katika kesi hiyo, Simba inamlalamikia Kessy kujiunga na Yanga kabla ya kumaliza Mkataba wake, hivyo mchezaji amevunja Mkataba na anatakiwa kulipa Sh. Bilioni 1.2 ambazo sasa zimeshushwa hadi Milioni 200.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2fp1mAn
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms