• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (244)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ▼  2016 (2138)
    • ▼  Desember (445)
      • Win A Bakkie Promotion
      • SIMBA KIBARUANI KOMBE LA MAPINDUZI LEO ZENJI
      • Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodac...
      • SIMBA YAMALIZANA VIZURI NA ANGBAN, NDUSHA WAREJEA ...
      • WAZIRI MWIGULU NA MAMA YAKE 'TEJA' CHIDDY BENZ
      • HATUWEZI KUJUA TUNAPOKWENDA, KAMA HATUJUI TULIPOTOKA
      • PITCHOU KONGO CHINI YA ULINZI WA AMAAN MBAROUK NA ...
      • LEICESTER CITY 1-0 WEST HAM UNITED
      • MAN UNITED 2-1 MIDDLESBROUGH
      • LIVERPOOL 1-0 MAN CITY
      • CHELSEA 4-2 STOKE CITY
      • LIVERPOOL YAITWANGA MAN CITY 1-0 ANFIELD
      • BEKI WA SIMBA AFIWA NA WATOTO WAKE WATATU SIKU MOJA
      • ISLAM SLIMANI AING'ARISHA LEICESTER CITY
      • CHELSEA YASHINDA MECHI YA 13 MFULULZO LIGI KUU ENG...
      • POGBA AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED YAUA 2-1 ENGLAND
      • MBEYA CITY YAIPIGA 3-1 MBAO FC SOKOINE
      • MWADUI YAIPIGA 2-1 KAGERA SUGAR
      • South Africa v Sri Lanka: 2nd Test Preview
      • KFC BBL: New Year's Day Double-Header
      • RONDA ROUSEY AJUTA KURUDI ULINGONI, ACHAPWA VIBAYA...
      • NGASSA AREJEA LIGI KUU LEO MBEYA CITY IKICHEZA NA ...
      • KFC BBL: Strikers v Sixers Preview
      • SIMBA: MAVUGO, BLAGNON HAWAKUCHEZA MECHI SABABU NI...
      • HAJIB AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MISRI, AFUNGA MOJA ...
      • YANGA KUMKOSA BOSSOU KOMBE LA MAPINDUZI
      • Greyville Sunday 1 January 2017 Best Bets
      • MICHO AMJUMUISHA JUUKO KIKOSI CHA MWISHO CHA UGAND...
      • Turffontein Saturday 31 December 2016 Best Bets
      • Kenilworth Saturday 31 December Best Bets
      • KFC BBL: Heat v Hurricanes Previews
      • Greyville Friday 30 December 2016 Best Bets
      • AZAM FC YAZINDUKA, YAILAZA 1-0 PRISONS CHAMAZI
      • RONALDO AITIWA PAUNI MILIONI 1 KWA WIKI CHINA, AKATAA
      • SIMBA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU
      • YANGA KUVUNA PONTI ZA CHEE LEO KAMATI YA SAA 72
      • HAJIB AKIFURAHIA MAISHA NA 'WASHKAJI' ZAKE HARAS E...
      • SIMBA WALEEE, YANGA WANAISOMA NAMBA...RUVU AFA 1-0
      • AZAM YATHIBITISHA KUWAMWAGA WASPANIOLA, CHECHE APE...
      • NGASSA SASA RUKSA KUCHEZA MBEYA CITY, ITC YAKE YAFIKA
      • EPL: Watford v Tottenham Hotspurs
      • EPL: Chelsea v Stoke City Preview
      • Aviva Premiership: Bath v Exeter Preview
      • EPL: Week 19 Preview
      • EPL: Liverpool v Manchester City Preview
      • Fairview Friday 30 December 2016 Best Bets
      • YANGA NA NDANDA KATIKA PICHA JANA UHURU
      • SOUTHAMPTON 1-4 TOTTENHAM
      • FARID MUSSA MALIK ALIVYOPAA KWENDA HISPANIA JANA
      • SASA RASMI, TEVEZ NDIYE MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI ...
      • SPURS YAWAKUNG'UTA SOUTHAMPTON 4-1 ENGLAND
      • SIMBA NA RUVU LEO UHURU, CHAMAZI NI AZAM NA PRISONS
      • ZAHOR PAZI AMSHUKURU RAIS MALINZI KUMPATIA ITC YAK...
      • RONALDO ANUNUA GARI LINGINE LA KIJANJA, NI BENZI L...
      • YANGA YAIPUMULIA SIMBA, YAIGONGA NDANDA 4-0 UHURU
      • AZAM YAWAFUKUZA WAHISPANIA WOTE, KALI ONGALA APEWA...
      • LWANDAMINA AMUANZISHA ‘DOGO WA JKU’ LEO YANGA NA N...
      • EPL: Mid-Season Revision
      • KFC BBL: Renegades v Scorchers Preview
      • Vaal Thursday 29 December 2016 Best Bets
      • LIVERPOOL 4-1 STOKE CITY
      • YANGA NA NDANDA FC LEO PATAMU SHAMBA LA BIBI, SI M...
      • LIVERPOOL MWENDO WA KASI, YAIBAMIZA 4-1 STOKE CITY
      • SAMATTA ATOKEA BENCHI GENK YAGONGA MTU 2-0
      • FARID APAA KESHO KWENDA HISPANIA KUANZA MAISHA MAPYA
      • HAJIB MAMBO SAFI MISRI, WAARABU WAKOLEA...SASA WAT...
      • LEICESTER CITY 0-2 EVERTON
      • ARSENAL 1-0 WEST BROM
      • CHELSEA 3-0 AFC BOURNEMOUTH
      • HULL CITY 0-3 MAN CITY
      • MAN UNITED 3-1 SUNDERLAND
      • NAHODHA YANGA ASEMA SIMBA WANAONGOZA TU LIGI, UBIN...
      • SIMBA KUMALIZANA NA NDUSHA, ANGBAN JUMATANO
      • MAN CITY YAENDELEZA MOTO LIGI KUU ENGLAND
      • MAN UNITED YAFANYA BALAA, YAITANDIKA SUNDERLAND 3-1
      • CHELSEA HAIKAMATIKI ENGLAND, YAIPIGA 3-0 BOURNEMOUTH
      • GIROUD AING'ARISHA ARSENAL, YAILAZA WEST BROM 1-0
      • SAMATTA ASIKITIKA KUFUKUZWA KWA KOCHA ALIYEMSAJILI...
      • TFF YAWAPA POLE WAANDISHI KWA KUFIWA NA MWENZAO, B...
      • MTIBWA SUGAR WAENDA KUISUBIRI KWA HAMU MAJI MAJI M...
      • Kenilworth Wednesday 28 December Best Bets
      • Vaal Tuesday 27 December 2016 Best Bets
      • KFC BBL: Thunder v Heat Preview
      • GEORGE MICHAEL AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIA...
      • Our Big Bash scribe previews Tuesday's game betw...
      • BENIK AFOBE AITWA DRC KIKOSI CHA AWALI AFCON 2017
      • OMOG AWAPA HEKO WACHEZAJI SIMBA KWA SHUGHULI YAO
      • YANGA SASA WADAI MILIONI 420 ZA AZAM TFF
      • PHIRI ASEMA MBEYA CITY ILIKOSA BAHATI TU JANA NBEL...
      • SIMBA WAMUOMBEA MSAMAHA JERRY MURO TFF
      • ZAMUNDA: AFRICAN LYON NDIYO KIBOKO YA VIGOGO LIGI KUU
      • SIMBA NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA UHURU
      • METHOD MOGELLA, FUNDI GANI TENA MWINGINE KAMA YEYE...
      • WACHEZAJI WA YANGA KUDAI HAKI YAO SI VIBAYA, LAKIN...
      • YANGA YAMUAGA KWA HESHIMA MBUYU TWITE, YAMPA JEZI ...
      • OFISA HUYU WA TFF ALIKUWA 'ANAMFUNGA KAMBA' GANI H...
      • HAJIB AENDA HARAS EL HODOUD YA MISRI KWA MAJARIBIO
      • SIMBA WAZIDI KUIACHA YANGA MBIO ZA UBINGWA
      • GRIEZMANN ALIPOKUTANA NA PORZINGIS MADISON SQUARE
      • JUVE 1-1 AC MILAN (PENALTI 3-4)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » MECHI 14 ZA KUFUNGIA MWAKA LIGI KUU BARA

MECHI 14 ZA KUFUNGIA MWAKA LIGI KUU BARA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MECHI 14 za Ligi Kuu ya Vodacom zinatarajiwa kufanyika wakati huu wa msimu wa kufunga mwaka 2016 na mbili zitafungua mwaka 2017 ambako Kituo cha Televisheni cha Azam - Wadhamini wenza wa ligi hiyo, wamethibitishia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupata burudani kwa michezo yote kulingana na ratiba.
Katika Ligi hiyo ambayo pia inabarikiwa na Benki ya Diamond Trust (DTB), michezo 15 ya kipindi cha sikukuu za kufunga na kufungua mwaka inatarajiwa kuanza saa 10.00 jioni isipokuwa ule wa Mbao FC na Mwadui uliopangwa kuanza saa 8.00 mchana kama itakavyojieleza hapo chini kwenye mtiririko wa ratiba.
Burudani kwa Wote katika michezo hiyo kutoka Azam Tv, zinaanzia mchezo wa kesho Ijumaa wa Desemba 23, mwaka huu ulipewa jina la Na. 129 utakaozikutanisha timu za African Lyon na Young Africans kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Kamishna wa mchezo anatarajiwa kuwa Idelfonce Magali kutoka Morogoro.
Geoffrey Mwashiuya kulia akimiliki mpira pembeni ya Simon Msuva kwenye mazoezi ya Yanga jana kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Lyon

Katika mchezo huo unaotarajiwa kuchezeshwa na Mwamuzi, Ludovic Charles kutoka mkoani Tabora akisaidiwa na John Kanyenye wa Mbeya (Mshika Kibendera Na. 1) na Alnord Bugado wa Singida (Mshika Kibendera Na. 2), Mwamuzi wa Akiba – Mezani anatarajiwa kuwa Israel Nkongo kutoka Dar es Salaam.
Jumamosi Desemba 24, 2016 kutakuwa na mechi sita ukianzia ule wa Mbeya City na Toto Africans zitacheza kwenye Uwanja wa Sokoine jijiji Mbeya katika mchezo Na. 130 utakaosimamiwa na Kamishna George Komba wa Dodoma wakati Mwamzi wa kati atakuwa Shakaile ole Shangalai wa Pwani huku wasaidizi wake wakiwa ni Khalfan Sika pia wa Pwani na Vecent Milabu wa Morogoro. Mwamuzi wa akiba atakuwa Cherles Mwamlima.
Mchezo Na. 131 utazikutanisha timu za Kagera Sugar na  Stand United katika Uwanja wa  Kaitaba, uliko Kagera ambako utasimamiwa na Kamishna Nassoroi Hamduni wa Kigoma huku Mwamuzi akiwa ni Jacob Adongo wa Mara akisaidiwa na Joseph Masija na Robert Luhemeja kutoka Mwanza na Mezani atakuwa  Jonesia Rukyaa wa Kagera.
Ndanda itaendelea kubaki nyumbani kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara na baada ya kucheza na Simba juma lililopita na kupoteza mchezo huo, safari hii inaikaribisha Mtibwa Sugar ya Morogoro katika mchezo Na. 132 utakaosimamiwa na Kamishna Jimmy Lengwe wa Morogoro wakati Mwamuzi atakuwa Andrew Shamba wa Pwani akisaidiwa na Haji Mwalukuta wa Tanga na Jeremiah Simon wa Dar es Salaam. Mezani atakuwa Abubakar Mtulo.
Siku hiyo pia kutakuwa na mchezo kati ya Simba na JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mchezo huo Na. 133 utafanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ambako utasimamiwa na Tito Haule wa Morogoro na kuchezeshwa na Mwamuzi Hans Mabena wa Tanga. Mabena atasaidiwa na Omari Kambangwa wa Dar es Salaam na Khalfan Sika wa Pwani wakati Mbaraka Rashid wa Dar es Salaam atakuwa Mwamuzi wa Akiba – mezani.
Baada ya kulala Mbeya mbele ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine, Majimaji ya Songea itakuwa mwenyeji wa Azam FC ya Dar es Salaam ambayo juma lililopita iliambulia sare tasa kutoka kwa African Lyon. Majimaji na Azam zinakutana kwenye mchezo Na. 134 utakaofanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Katika mchezo huo ambao Mwamuzi atakuwa Ngole Mwangole wa Mbeya ambaye ni mwamuzi bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita, atasaidiwa na Mirambo Tshikungu na Mashaka Mwandembwa – pia wote wa Mbeya huku kamishna akiwa ni David Lugenge wa Iringa.
Mwadui ambayo ilianza vibaya duru la pili kwa kupoteza mchezo uliopita, Jumamosi Desemba 24, mwaka huu itakuwa mwenyeji wa Mbao FC ya Mwanza kwenye Uwanja wa Mwadui Complex mkoani Shinyanga. Mchezo huo Na. 135, utasimamiwa na Kamishna Staricko Nyikwa wa Singida katika mchezo utakaoanza saa 8.00 mchana ili kutoa fursa kwa mdhamini Azam kuonesha mchezo huo moja kwa moja ikiwa na maana ya mubashara.
Waamuzi wataongozwa na  Emmanuel Mwandembwa atakayesimama katikati kupuliza filimbi huku akisaidiwa na Abdallah Uhako na Agnes Pantaleo wote wa Arusha na mezani anatarajiwa kuwa Ezekiel Mboi wa Shinyanga.
Krismas, yaani Desemba 25, 2016 hakutakuwa na mchezo ila siku inayofuata Desemba 26, mwaka huu Ruvu Shooting itakuwa mwenyeji wa Tanzania Prisons ya Mbeya kwenye Uwanja wa Mabatini, ulioko Mlandizi mkoani Pwani katika mchezo Na 136.
Manyama Bwire wa Dar es Salaam atakuwa Kamishna wa mchezo huo wakati Mwamuzi ni Forentina Zabron wa Dodoma akisaidiwa na Hassan Zani wa Arusha na Silvester Mwanga wa Kilimanjaro. Mwamuzi wa akiba - Mezani atakuwa Andrew Shamba wa Pwani.
Desemba 28, mwaka huu kutakuwa na mechi mbili ambako Yanga SC ya Dar es Salaam itakuwa mwenyeji wa Ndanda ya Mtwara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini katika mchezo Na. 137 ambako Juma Chiponda wa Tanga atakuwa kamishna wa mchezo huo.
Mwamuzi wa kati katika mchezo huo atakuwa Eric Onoca wa Arusha akisaidiwa na Michael Mkongwa wa Njombe na Janeth Balama wa Iringa. Mwamuzi wa akiba atakayekaa mezani atakuwa Mwanahamisi Matiku wa Dar es Salaam.
Kadhalika siku hiyo, Majimaji ya Songea itakuwa mgeni wa Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye Uwanja wa Manungu ulioko Mvomero katika mchezo Na. 138 utakaosimamiwa na Kamishna Pius Mashera wa Dodoma, utachezeshwa na Mathew Akrama kutoka Mwanza akisaidiwa na Abdallah Rashid wa Pwani na Gasper Ketto wa Arusha. Mwamuzi wa akiba atakuwa Selemani Kinugani.
Kadhalika Desemba 29, mwaka huu kutakuwa na mechi mbili. Ruvu Shooting ya Pwani inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Simba ya Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam katika mchezo ambao mwamuzi atakuwa Alex Mahagi wa Mwanza.
Katika mchezo huo Na. 139, Mahagi atasaidiwa na Ferdinand Chacha pia wa Mwanza na Rashid Zongo wa Iringa huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Hellen Mduma wa Dar es Salaam. Kamishna wa mchezo atakuwa Peter Temu wa Arusha.
Azam ya Dar es Salaam itatulia nyumbani Uwanja wa Azam huko Chamazi ikicheza na Tanzania Prisons ya Mbeya katika mchezo Na. 140 utakaosimamiwa na Elizabeth Kalinga wa Mbeya huku Mwamuzi akiwa ni Jimmy Fanuel wa Shinyanga huku wasaidizi wake wakiwa ni Makame Mdog pia wa Shinyanga na Abdallah Mkomwa wa Pwani huku Kassim Mpinga akiwa ni mwamuzi wa akiba.
Saa kadhaa kabla ya kuingia mwaka 2017, yaani Desemba 31, mwaka huu kutakuwa na michezo miwili ambako Mwadui ya Shinyanga itacheza na Kagera Sugar ya Kagera kwenye Uwanja wa Mwadui mkoani Shinyanga katika mchezo Na.  141.
Kamishna anatarajiwa kuwa Nassib Mabrouk wa Mwanza na Mwamuzi ni Isihaka Mwalile na wasaidizi wake ni Hellen Mduma na Omary Kambangwa – wote kutoka Dar es Salaam. Julius Kasitu wa Shinyanga anatarajiwa kuwa Mwamuzi wa Akiba.
Kadhalika siku ya funga mwaka, Mbeya City inatarajiwa kucheza na Mbao FC kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya katika Mchezo Na. 143 ambao msimamizi wa mchezo atakuwa Joseph Mapunda wa Ruvuma.
Mwamuzi katika mechi hiyo anatarajiwa kuwa Hussein Athuman wa Katavi wakati wasaidizi wake watakuwa ni Lulu Mushi wa Dar es Salaam na Nicholaus Makaranga wa Morogoro. Mwamuzi wa Akiba Mezani atakuwa Mashaka Mwandembwa wa Mbeya.
Januari mosi kutakuwa na michezo miwili tu ya kukaribisha Mwaka Mpya ambako Toto African ya Mwanza itacheza na Stand United ya Shinyanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba katika mchezo Na. 144 utakaosimamiwa na Jovin Bagenda wa Kagera. Mwamuzi atakuwa Israel Nkongo sambamba na wasaidizi wake Soud Lila na Frank Komba, wote wa Dar es Salaam. Mwamuzi wa akiba mezani atakuwa Mathew Akrama wa Mwanza.
Pia African Lyon ya Dar es Salaam itakuwa mwenyeji wa JKT Ruvu katika mchezo Na. 142 utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kamishna atakuwa Hamisi Kitila wa Singida wakati Mwamuzi anatarajiwa kuwa Selemani Kinugani wa Morogoro wakati wasaidizi wake ni Omary Juma wa Dodoma na Agnes Pantaleo wa Arusha wakati mezani atakuwa Shafii Mohammed wa Dar es Salaam.
Mara baada ya michezo hiyo, Ligi Kuu ya Vodacom itasimama kwa wiki mbili kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Januari mosi, mwaka huu.


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2hYOFkL best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MECHI 14 ZA KUFUNGIA MWAKA LIGI KUU BARA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/12/mechi-14-za-kufungia-mwaka-ligi-kuu-bara.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 05.09
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Did you know besides EFT, Hollywoodbets offers you four different "Cash Send to Cellphone" options for withdrawing from your Holl...
  • PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufan...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
Copyright Viral Sports: MECHI 14 ZA KUFUNGIA MWAKA LIGI KUU BARA