TIMU ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini usiku wa jana imetwaa taji la Super Cupa Afrika baada ya kuwafunga bao 1-0 vigogo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Uwanja wa Loftus Versfeld mjini Pretoria.
Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Ricardo Nascimento kwa penalti dakika ya 83, baada ya Hlompho Kekana kuangushwa kwenye boksi.
Mabingwa hao wa Ligi ya Mabingwa, maarufu kwa jina ka utani 'Wabrazil' walistahili ushindi huo kutokana na kutawala sehemu kubwa ya mchezo huo uliowakutanisha na mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Nafasi nzuri zaidi Mazembe walishindea kuitumia katika mchezo huo ilikuwa ni wakati mshambuliaji Ben Malango alipobaki peke yake na kipa Mganda Denis Onyango, lakini akipiga mpira ukagonga mwamba wa juu kulia.
Mshambuliaji huyo wa Mazembe akafanikiwa kuupata mpira uliorudi na akajitengeneza vizuri kupiga tena, lakini Onyango akawa tayari amekwishajipanga na kuuchupia pembezoni ma lango kuokoa.
Kikosi cha Sundowns kilikuwa; Denis Onyango, Thapelo Morena, Wayne Arendse, Ricardo Nascimento, Tebogo Langerman, Tiyani Mabunda, Hlompho Kekana, Themba Zwane/Sibusiso Vilakazi dk90+3, Anthony Laffor/Bangaly Soumahoro dk86, Khama Billiat/Anele Ngcongca dk90+2 na Percy Tau
Mazembe: Sylvain Gbohouo, Djos Issama, Joel Kimwaki, Salif Coulibaly, Jean Kasusula, Nathan Sinkala, Daniel Adjei, Rainford Kalaba/Adama Traore dk80, Solomon Asante, Ben Malango, Meschak Elia/Tresor Mputu dk58.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2maDxj7
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAMELODI WAITWANGA MAZEMBE NA KUBEBA SUPER CUP YA CAF. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/02/mamelodi-waitwanga-mazembe-na-kubeba.html. Terimakasih atas perhatiannya.