Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
KOCHA wa Yanga, Mzambia George Lwandamina ameanzisha kikosi cha muunganiko mzuri kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zanaco ya Zambia jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Lwandamina leo amewarejesha kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima na mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma ambao hawajaonekana kwa muda mrefu.
Pamoja na hayo, Lwandamina amewarejesha pia kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko na mshambuliaji Mrundi, Amissi Tambwe waliokuwa wanasumbuliwa na maumivu.
Kutoka kulia Obrey Chirwa, Donald Ngoma na Simon Msuva wote wanaanza leo
Amekuja na safu kali ya ushambuliaji ikiundwa na Ngoma, Tambwe na Mzambia mwenzake, Obrey Chirwa na mzalendo Simon Msuva.
Kwa ujumla kikosi cha Yanga leo kipo hivi; Deogratius Munishi ‘Dida’, Hassan Kessy, Mwinyi Hajji, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Vincent Bossou, Thabani kamusoko, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Amissi Tambwe, Donald Ngoma na Obrey Chirwa.
Katika benchi wapo Ally Mustafa ‘Barthez’, Kevin Yondan, Juma Abdul, Justine Zullu, Geoffrey Mwashuya, Oscar Joshua, Juma Mahadhi na Said Juma ‘Makapu’.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2mM6kON
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms