• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ▼  Maret (448)
      • AZAM NA YANGA SHUGHULI PEVU TAIFA LEO
      • LUKAKU MCHEZAJI BORA WA MACHI ENGLAND, HOWE KOCHA ...
      • Scottsville Sunday 1 April 2017 Best Bet
      • Writers' Weekend Treble
      • MTUNZI WA 'MPEWA HAPOKONYEKI' ANATIA HURUMA, KAZI ...
      • Tempting Ten-Fold Preview
      • JESSE LINGARD AONYESHA BENTLEY LAKE LA PAUNI 200,000
      • IPL 2017: Royal Challengers Bangalore 7/2
      • IPL 2017: Rising Pune Supergiant 11/2
      • IPL 2017: Mumbai Indians 5/1
      • IPL 2017: Kings XI Punjab 10/1
      • IPL 2017: Kolkata Knight Riders 15/2
      • SIMBA WALIVYOISHUHUDIA SERENGETI IKIWAPIGA BURUNDI...
      • SERENGETI BOYS WAIPIGA 3-0 BURUNDI KAITABA
      • Super Rugby: Round 6 Preview (Saturday)
      • European Rugby Champions Cup: Clermont v Toulon Pr...
      • European Rugby Champions Cup: Leinster v Wasps Pre...
      • Italian Serie A: Napoli v Juventus Preview
      • Super Rugby 2017: Waratahs v Crusaders Preview
      • Italian Serie A: Week 30 Preview
      • EPL: Chelsea v Crystal Palace Preview
      • MAREFA WA RWANDA, GUINEA KUCHEZESHA YANGA NA WAALG...
      • EPL: Liverpool v Everton Preview
      • NYASI BANDIA ZA SIMBA ZAPIGWA MNADA WAMESHINDWA KU...
      • German Bundesliga: Schalke 04 v Borussia Dortmund ...
      • Football League Championship: Reading v Leeds Unit...
      • Greyville Friday 31 March 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 31 March 2017 Best Bets
      • FIRMINO NA COUTINHO WAIWAHI LIVERPOOL V EVERTON JU...
      • SCHWEINSTEIGER APEWA JEZI NAMBA 31 CHICAGO FIRE
      • FURAHA YA RONALDO BAADA YA UWANJA WAKE NDEGE KUZIN...
      • KOCHA MAYANGA ANAPOKUWA KAZINI KAA NAYE MBALI
      • MBARAKA YUSSUF AWAAMBIA SIMBA; “HAKUNA KUCHEKEANA ...
      • TAMBWE: NIPENI WIKI MOJA NITAKUWA FITI
      • MTANZANIA WA UJERUMANI KUWANOA WENYE VIPAJI NCHINI
      • German Bundesliga: Week 26 Preview
      • Super Rugby 2017: Highlanders v Rebels Preview
      • Spanish La Liga: Week 29 Preview
      • MODC Final: multiply Titans vs Warriors
      • EPL: Week 30 Preview
      • European Rugby Challenge Cup: Quarter-Final preview
      • EPL: Arsenal v Manchester City Preview
      • ERCC: Munster v Toulouse Preview
      • CAF YAIGOMEA YANGA KUPELEKA MECHI NA WAARABU KIRUMBA
      • CHILE 3-1 VENEZUELA
      • BOLIVIA 2-0 ARGENTINA
      • URENO 2-3 SWEDEN
      • BRAZIL 3-0 PARAGUAY
      • UFARANSA 0-2 HISPANIA
      • BENTEKE AFUNGA MAWILI, UBELGIJI YATOA SARE 3-3 NA ...
      • The Shell Houston Open 2017 Preview
      • JAMES RODRIGUEZ AIBEBA COLOMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
      • SANCHEZ AFUNGA, AKOSA PENALTI CHILE YASHINDA 3-1
      • ITALIA YAIZIMA UHOLANZI 2-1 AMSTERDAM ARENA
      • BAO LA GRIEZMANN LAKATALIWA, UFARANSA WAFA 2-0 NYU...
      • RONALDO AFUNGA LAKINI URENO YAPIGWA 3-2 NYUMBANI N...
      • KICHUYA, MAVUGO, HAJIB WATUA BUKOBA KUIONGEZEA NGU...
      • ARGENTINA YAWEKEWA KIGINGI KUFUZU KOMBE LA DUNIA, ...
      • BRAZIL YA KWANZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, YAILI...
      • TAIFA STARS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA
      • MKAGUZI WA CAF AAFIKI YANGA NA MC ALGER ZICHEZE KI...
      • ‘DOGO’ WA KAGERA, MBARAKA YUSSUF AIBEBA STARS
      • UWANJA WA TEVEZ WATEKETEA KWA MOTO LEO CHINA
      • NAPE ALIPOMKABIDHI DK MWAKYEMBE OFISI ZA WIZARA YA...
      • SAMATTA AREJEA UBELGIJI, KUWAKOSA BURUNDI LEO
      • RIGOBERT SONG AREJEA CAMEROON BAADA YA MATIBABU UF...
      • YANGA NA PRISONS APRILI 22 ROBO FAINALI KOMBE LA TFF
      • BRAZIL YAWANIA KUWA TIMU YA KWANZA KUFUZU KOMBE LA...
      • MAVUGO NA BANDA PATACHIMBIKA TAIFA LEO
      • SIMBA SC KUMPA MKUDE MKATABA WA KIPEKEE
      • South African NFD: Week 22 Preview
      • South African PSL: Chiefs v Sundowns Preview
      • South African PSL: Week 22 Preview
      • Turffontein Thursday 29 March 2017 Best Bets
      • EFL Championship: Week 39 Preview
      • YANGA NA MC ALGER KUCHEZWA MWANZA
      • MECHI YA MBAO NA SIMBA YASOGEZWA MBELE
      • STARS NA BURUNDI KIINGILIO SH 3,000 KESHO TAIFA
      • Kenilworth Wednesday 29 March 2017 Best Bets
      • Vaal Tuesday 28 March 2017 Best Bets
      • Varsity Cup: Round 9 Preview
      • TAMBWE AANZA KUJIFUA GYM, LEO JIONI ATAKUWA UWANJANI
      • International Friendlies Preview
      • TIMU YA RAIS MPYA CAF YAFUZU MAKUNDI KUFUZU AFCON,...
      • UJERUMANI YAWATANDIKA AZERBAIJAN 4-1 KUFUZU KOMBE ...
      • ENGLAND YAENDELEA KUTAWALA KUNDI F KUFUZU KOMBE LA...
      • SERENGETI BOYS WAKO BUKOBA, IKIRUDI KUIVAA GHANA
      • WAZIRI MPYA WA MICHEZO AWAAMBIA TFF; "FUTENI UTAMA...
      • TARIMBA AWAFUNGIA MABOSI WATATU WA SOKA RUKWA, KIL...
      • MAVUGO KUIONGOZA BURUNDI DHIDI YA STARS JUMANNE
      • SINGIDA UNITED YASAJILI WAZIMBABWE WAWILI DOLA NJE...
      • Fairview Monday 27 March 2017 Best Bets
      • SAMATTA AFUNGA YOTE MAWILI, TAIFA STARS YAIPIGA 2-...
      • MALINZI ALIPOMTAMBULISHA DK MWAKYEMBE KWA KAMATI Y...
      • MAYANGA AMTUPA BENCHI DIDA, AMUANZISHA MANULA STAR...
      • BANDA MCHEZAJI BORA WA FEBRUARI SIMBA SC
      • ULIMWENGU AWASIKITIKIA MAZEMBE, ASEMA KUBADILI MAK...
      • TAIFA STARS ITAVUNA NINI KWA MAYANGA?
      • REFA WA SIMBA NA MBEYA CITY APEWA ONYO KALI
      • Lucky Numbers: Daylight Savings Draw Time Changes
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » TARIMBA AWAFUNGIA MABOSI WATATU WA SOKA RUKWA, KILA MMOJA MWA MMOJA

TARIMBA AWAFUNGIA MABOSI WATATU WA SOKA RUKWA, KILA MMOJA MWA MMOJA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MKAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake, Tarimba Abbas imewafungia viongozi wawili wa Chama cha Soka Rukwa (RUREFA), Blassy Kiondo na Ayoub Nyauringo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya chama hicho, James Thomas Makwinya kutojihusisha na soka kutokana na makosa tofauti.
Viongozi wa RUREFA waliotiwa hatiani ni pamoja na Blassy Kiondo na Kaimu Katibu Mkuu, Ayoub Nyauringo ambao Kamati ya Nidhamu chini ya Mwenyekiti Abbas Tarimba iliyosikiliza shauri hilo zaidi ya mara tatu kabla ya kufikia uamuzi.
Tarimba Abbas (kulia) akizungumzia pembeni ya Mkurugenzi wa Vodacom, Kevin Twissa

Baada ya Blassy Kiondo kutiwa hatiani, Kamati imechukua uamuzi wa kumfungia kutojihusisha na masuala ya mpira wa miguu ndani na nje kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa kanuni za nidhamu za TFF, Kanuni ya 64 (4) na inamuamuru kulipa faini ya Sh. 1,000,0000 (Milioni moja) kwa mujibu wa Kanuni ya ya 64 (1) (a) ya Kanuni za nidhamu za TFF. Mlalamikiwa ana haki ya kukata rufaa kama kanuni zinavyoelekeza.
Awali, Kiondo alilalamikiwa na TFF kuwa alishindwa kuheshimu uamuzi halali wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF kinyume cha kanuni ya 64 ya kanuni za Nidhamu za mwaka 2012.
Kwamba akiwa Mwenyekiti wa RUREFA, anadaiwa kuwa kati ya Desemba 2016 na Januari 2017, alipuuza maelekezo ya kusimamisha uchaguzi wa RUREFA hadi hapo rufaa zilizokuwa zimekatwa kuamuliwa. Kadhalika, Kiondo alishiriki katika uchaguzi huo.
Kamati kwa kauli moja, imemtia hatiani Ayoub Nyauringo amefungiwa kutojihusisha na masuala ya mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa muda wa mwaka mmoja chini ya Kanuni ya 64(4)  za nidhamu za TFF. 
Hiyo ni adhabu kama alivyoshitakiwa ili iwe fundisho kwa viongozi wengine katika kutii maagizo wanayopewa na ngazi za juu za uongozi. 
Awali, Nyauringo alilalamikiwa na TFF kuwa alishindwa kuheshimu uamuzi halali wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF kinyume cha kanuni ya 64  ya kanuni za Nidhamu za mwaka 2012.
Kwamba akiwa Kaimu Katibu wa RUREFA, anadaiwa kuwa kati ya Desemba 2016 na Januari 2017, alipuuza maelekezo ya kusimamisha uchaguzi wa RUREFA hadi hapo rufaa zilizokuwa zimekatwa kuamuliwa.
Katika utetezi wake, Nyauringo mbele ya Kamati ya Nidhamu ya TFF alikiri kupokea barua ya kusimamisha mchakato wa uchaguzi kama ilivyoagizwa, lakini ushauri wake haukufanyiwa kazi wala kusikilizwa bali aliambiwa kwamba Kamati ya Uchaguzi ya RUREFA inafanyia kazi na uchaguzi upo pale pale.
Kamati baada ya kupitia ushahidi wote imejiridhisha bila shaka yoyote kuwa mlalamikiwa alitenda kosa analoshitakiwa nalo na kushindwa kuheshimu uamuzi wa TFF; sababu zikiwa ni nyingi ikiwamo kukiri kuwa mchakato wa uchaguzi ulisitishwa sambamba na kukosa Mwakilishi kutoka TFF. Mlalamikiwa ana haki ya kukata rufaa kama kanuni zinavyoelekeza.
Kuhusu James Makwinya, Kamati inamtia hatiani mlalamikiwa kwa makosa mawili kama alivyoshitakiwa na TFF. Kwamba Mlalamikiwa alishindwa kuheshimu uamuzi halali  wa Kamati ya Uchaguzi  ya TFF na vilevile imethibitishwa kuwa alitoa lugha isiyo ya kiungwana na kiuanamichezo kama ushahidi unavyooneshwa hapo juu.
Katika shitaka la kwanza mlalamikiwa anafungiwa kutojihusisha kwa namna yoyote ile na masuala ya mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kipindi cha mwaka mmoja kwa mujibu wa Kanuni ya 64 (4) ya kanuni za nidhamu za TFF pamoja na kulipa faini ya Sh. Milioni moja kwa mujibu wa kanuni ya 64 (1) (a)ya kanuni za nidhamu.
Hii ni kwa sababu imethibitika kuwa mlalamikiwa alipokea barua ya Desemba 19, 2016 iliyomtaka kusitisha mchakato wa uchaguzi wa RUREFA. Alikaidi maagizo hayo na kuendeleana uchaguzi bila uhalali wowote na bila kuwepo mwakilishi yeyote kutoka TFF. Mlalamikaji ana haki ya kukata rufaa kama kanuni zinavyoelekeza.


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2nC7RqP best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TARIMBA AWAFUNGIA MABOSI WATATU WA SOKA RUKWA, KILA MMOJA MWA MMOJA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/03/tarimba-awafungia-mabosi-watatu-wa-soka.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.58
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    Our football writer previews the UEFA Champions League matchday three action which kicks off on Tuesday 23 October 2018. Matchday three o...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
Copyright Viral Sports: TARIMBA AWAFUNGIA MABOSI WATATU WA SOKA RUKWA, KILA MMOJA MWA MMOJA