Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SIMBA Spots Club imesema kwamba ipo tayari kumpa mkataba mpya, Nahodha wake, Jonas Mkude utakaomruhusu kuondoka akipata timu nje ya nchi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti w Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe katika mahojiano na Bin Zubeiry Sports – Online jana ofisini kwake, Mbezi, Dar e Salaam.
Hans Poppe amesema kwamba wapo kwenye mazungumzo ya mkataba mpya na kiungo huyo, ambayo yanaendelea vizuri.
Zacharia Hans Poppe (kushoto) amesema kwamba wapo kwenye mazungumzo ya mikataba mipya na Jonas Mkude na Ibrahim Hajib
“Wakala wa Mkude anaishi Afrika Kusini, na sisi hatuna shida kuwa na kipengele cha kumruhusu kwenda nje akipata timu. Kwa hivyo tunatarajia tutafikia makubaliano katika mazungumzo yanayoendelea,”amesema Poppe.
Pamoja na hayo, kumekuwa na taarifa za Mkude kutaka kwenda kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini ambako alikwenda kwa majaribio mwaka jana
Mkude aliyedumu Simba SC tangu mwaka 2011 baada ya kupandishwa kutoka kikosi cha vijana, anatarajiwa kumaliza mkataba wake Juni mwaka huu.
Katika hatua nyingine, Hans Poppe amesema Simba haina taarifa yoyote kuhusu mshambuliaji wake, Ibrahim Hajib kutakiwa na klabu ya Haras El Hodoud ya Misri.
“Ni kweli Hajib alikwenda majaribio Misri na ikaripotiwa amefuzu, lakini tangu hapo ile klabu haijawasiliana na sisi kwa chochote, kwa hivyo hatujui kinachoendelea,”amesema Poppe.
Hajib alikuwa Misri kati ya Desemba na Januari kwa majaribio, ambako ilielezea amefuzu – lakini klabu hiyo ya Ligi Kuu ikashindwa kukamilsha uhamisho wa mchezaji huyo kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari mwaka huu
Sasa inatarajiwa Hajib anaweza anaweza kuondoka Simba SC kama mchezaji huru Juni mwaka huu atakapmaliza mkataba wake.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2o2qDbz
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC KUMPA MKUDE MKATABA WA KIPEKEE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/03/simba-sc-kumpa-mkude-mkataba-wa-kipekee.html. Terimakasih atas perhatiannya.