TIMU ya Barcelona jana imeitoa PSG katika hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa 6-1 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa marudiano.
Hilo halikutarajiwa baada ya Barca kufungwa 4-0 katika mchezo wa kwanza mjini Paris. Mabao ya Barca jana yalifungwa na Luis Suarez dakika ya tatu, Layvin Kurzawa aliyejifunga dakika ya 40, Lionel Messi kwa penalti dakika ya 50 baada ya Neymar ambaye pia alifunga mawili dakika za 88 na 90 kwa penalti kuangushwa na Sergi Roberto dakika ya 90 na ushei wakati la PSG lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 62.
Je, unajua ushindi huo chini ya kocha Luis Enrique ambaye tayari amesema ataondoka mwishoni mwa msimu ni wa ngapi kwa ukubwa nyumbani kwa Barca?
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2n1dgZ6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAAJABU MENGINE BARCA ILIWAHI KUFANYA KABLA YA JANA.... Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/03/maajabu-mengine-barca-iliwahi-kufanya.html. Terimakasih atas perhatiannya.