Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba SC itamenyana na Madini FC ya Arusha katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Machi 18, mwaka huu Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa leo, mabingwa watetezi, Yanga SC iwapo watafanikiwa kuitoa Kiluvya United ya Pwani kesho watamenyana na Tanzania Prisons ya Mbeya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Machi 18.
Na kama Kiluvya United wataitoa Yanga kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam basi wao ndiyo wataialika Prisons Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani Machi 18.
Washindi wa pili wa mwaka jana, Azam FC watamenyana na Ndanda FC ya Mtwara Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Machi 18, wakati Kagera Sugar watamenyana na Mbao FC ya Mwanza Uwanja wa Kaitaba, Bukoba siku hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2mNGT05
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA KUMENYANA NA MADINI FC KOMBE LA TFF ARUSHA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/03/simba-kumenyana-na-madini-fc-kombe-la.html. Terimakasih atas perhatiannya.