Na Mwandishi Wetu, DODOMA
SIMBA SC wameendelea kuwapa raha mashabiki wao, baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji Polisi Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Laudit Mavugo ameendelea kuwatesa makipa wa Tanzania baada ya kufunga bao la kwanza kipindi cha kwanza katika mchezo huo wa kirafiki jioni ya leo.
Dakika 45 za kwanza zilimalizika Simba wakiwa mbele kwa bao 1-0, lakini kipindi cha pili wakaongeza mabao mawili kupitia kwa winga wake machachari Shiza Kichuya kwa penalti na mshambuliaji Juma Luizio.
Laudit Mavugo ameendelea kuwatesa makipa wa Tanzania baada ya kuifungia Simba bao la kwanza leo
Kipindi cha pili kocha Mcameroon alifanya mabadiliko ya karibu kikosi chote kutoka wachezaji walioanza kipindi cha kwanza.
Kikosi cha Simba kilikuwa; Peter Manyika, Janvier Bokungu/Hamad Juma, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’/Vincent Costa, Abdi Banda, Juuko Murshid, James Kotei/Moses Kitandu, Muzamil Yassin/Jonas Mkude, Mohammed ‘Mo’ Ibrahim/Said Ndemla, Laudit Mavugo/Juma Luizio, Ibrahim Hajib/Pastory Athanas na Shiza Kichuya/Mwinyi Kazimoto.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2naCrbT
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA YAWAPIGA POLISI DOM 3-0, MAVUGO, KICHUYA KAMA KAWA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/03/simba-yawapiga-polisi-dom-3-0-mavugo.html. Terimakasih atas perhatiannya.