Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
KOCHA wa Zanaco FC, Munamba Numba amesema kwamba ana wachezaji wengi wa kuziba pengo la mshambuliaji wake hatari, Fashion Sakala kuelekea mechi na Yanga.
Zanaco itawasili jioni ya leo tayari kwa mchezo dhidi ya Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika.
Na kocha Munamba amesema kwamba amesema anafahamu watamkosa Sakala, lakini kuna wachezaji wa kutosha wa kuziba pengo lake.
Fashion Sakala (kulia) hatakuwepo Zanaco ikiivaa Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika
Zanaco pita itamkosa kipa Mangani Banda ambaye yupo na mshambuliaji Fashion Sakala kwenye kikosi cha timu ya vijana ya Zambia, Young Chipolopolo kinachocheza fainali za Afrika za Afrika za vijana chini ya umri w miaka 20, ambazo Zambia ni wenyeji.
Kwa upande wao, Yanga wataendelea kumkosa mshambuliaji wao tegemeo, Mzimbabwe Donald Ngoma kwenye mchezo huo utakaorushwa moja kwa moja na kituo cha Televisheni cha Azam anayesumbuliwa na maumivu ya goti.
Yanga wanaingia kwenye hatua hiyo baada ya kuitoa Ngaya Club de Mde ya Comoro kwa jumla ya mabao matano kwa mawili, ikishinda matano kwa moja mjini Moroni na kulazimishwa sare ya bao moja kwa moja Dar es Salaam, wakati Zanaco iliitoa APR ya Rwanda kwa bao moja bila, ililoshinda Kigali kufuatia sare ya bila bila mjini Lusaka.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2lGxVRZ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ZANACO KUMKOSA MTU HUYO ANGEKUWEPO YANGA WANGEKOMA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/03/zanaco-kumkosa-mtu-huyo-angekuwepo.html. Terimakasih atas perhatiannya.