• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ▼  April (459)
      • Vaal Tuesday 2 May 2017 Best Bets
      • YANGA WAMCHONGEA RAIS WA SIMBA AVEVA TFF, WASEMA A...
      • KWELI NI MPIRA WA MIGUU, LAKINI SI KWA MATEKE HAYA!
      • Turffontein Monday 1 May 2017 Best Bets
      • SERENGETI BOYS YAWAPIGA CAMEROON 1-0 KWAO
      • MANCHESTER CITY YAAMBULIA SARE 2-2 RIVERSIDE
      • ARSENAL WAMVAA REFA WAKIGONGWA 2-0 NA SPURS ENGLAND
      • CHELSEA YAZIDI KUUSOGELEA UBINGWA ENGLAND, YAIBUTU...
      • ANTHONY JOSHUA VS WLADIMIR KLITSCHKO
      • MBAO WAIFUATA SIMBA FAINALI KOMBE LA TFF
      • MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE NA SWANSEA CITY
      • VIONGOZI AZAM FC WAJITAHMINI BAADA YA MATOKEO MABA...
      • ATHUMANI MACHUPPA ENZI ZAKE ALIKUWA ANAPEPERUKA BALAA
      • SIMBA NA AZAM KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • SAMATTA ATOKEA BENCHI, GENK YAUA 3-0 KUFUZU ULAYA
      • IPL: Sunday 30 April Preview
      • ESPANYOL 0-3 BARCELONA
      • REAL MADRID 2-1 VALENCIA
      • BAYERN MUNICH WABEBA NDOO YA BUNDESLIGA KWA MARA Y...
      • SUAREZ AFUNGA MAWILI BARCELONA YAWAPA ESPANYOL 3-0
      • RONALDO AFUNGA, AKOSA PENALTI REAL MADRID YASHINDA...
      • ANTHONY JOSHUA AMMALIZA KLITSCHKO RAUNDI YA 11
      • AZAM FC WALIA NA REFA, WADAI AKRAMA KAWABEBA SIMBA
      • LEICESTER CITY YANG'ARA ENGLAND, YAILAZA WEST BROM...
      • MOYES AIPOROMOSHA DARAJA SUNDERLAND, YAPIGWA 1-0 N...
      • SIMBA WATINGA FAINALI KOMBE LA TFF, SASA WANAISUBI...
      • VIKOSI VINAVYOANZA SIMBA NA AZAM HATARI TUPU
      • HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA
      • SERIKALI YATANGAZA NIA YA KUZALISHA MABILIONEA WAN...
      • JOHN BOCCO NI MTU HATARI INAPOKUJA AZAM NA SIMBA
      • SIMBA NA YANGA WACHUKUA TAHADHARI KUBWA DHIDI YA A...
      • IPL: Saturday 29 April Preview
      • French Top 14: La Rochelle v Montpellier Preview
      • Super Rugby 2017: Brumbies v Blues Preview
      • Super Rugby: Round 10 Preview (Saturday)
      • Scottsville Sunday 30 April 2017 Best Bet
      • Kenilworth Saturday 29 April 2017 Best Bets
      • Turffontein Saturday 29 April 2017 Best Bets
      • MAN CITY 0-0 MAN UNITED
      • FELLAINI 'AMTWISHA NDOO' AGUERO, ALIMWA NYEKUNDU.....
      • MKUBWA NA MWANAWE PATAKUWA HAPATOSHI WEMBLEY JUMAMOSI
      • MKEMI APANDISHWA KAMATI YA NIDHAMU KWA ‘KUWACHANA’...
      • SIMBU AMKABIDHI WAZIRI MKUU TUZO YAKE YA MUMBAI MA...
      • NGOMA, BOSSOU KUIKOSA YANGA NA MBAO MWANZA
      • CHELSEA WAINUA NDOO YA FA YA VIJANA, WAITWANGA MAN...
      • MWANAUME WA KIUME ALIYE TAYARI KWA SHUGHULI YA KIU...
      • Fairview Friday 28 April 2017 Best Bets
      • Greyville Friday 28 April 2017 Best Bets
      • BORUSSIA DORTMUND YAITUPA NJE BAYERN MUNICH KOMBE ...
      • DEPORTIVO LA CORUNA 2-6 REAL MADRID
      • ARSENAL 1-0 LEICESTER CITY
      • BAYERN MUNICH 2-3 BORUSSIA DORTMUND
      • BARCELONA 7-1 OSASUNA
      • JAMES RODRIGUEZ AFUNGA MAWILI, REAL YASHINDA 6-2 U...
      • SAMATTA AGONGA ZOTE 90 KRC GRNK, YATOA SARE 1-1
      • ARSENAL 'WAOKOTA' POINTI TATU KWA MABINGWA LEICEST...
      • NA HIVI NDIVYO AZAM WANAVYOJIFUA CHAMAZI
      • MAKAMU WA RAIS TFF AHUDHURIA MAZOEZI YA SIMBA MORO...
      • MESSI AENDELEZA BALAA LAKE BARCA IKIUA 7-1 LA LIGA
      • YUSSUF MHILU AINUSURU YANGA B KULALA DODOMA
      • MAN UNITED KUMKOSA PAUL POGBA KESHO DHIDI YA MAN CITY
      • MAMELODI, MAZEMBE ZAPANGWA ‘MAKUNDI YA KIFO’, KCCA...
      • EPL: Tottenham v Arsenal Preview
      • SAMATTA KAZINI NA GENK YAKE LEO UBELGIJI
      • Turffontein Thursday 27 April 2017 Best Bets
      • Italian Serie A: Week 34 Preview
      • Super Rugby 2017: Highlanders v Stormers
      • South African NFD: Week 26 Preview
      • Zurich Classic of New Orleans 2017 Preview
      • CHELSEA 4-2 SOUTHAMPTON
      • WAMAREANI KUCHEZESHA PAMBANO LA JOSHUA NA KLITSCHK...
      • The Volvo China Open 2017 Preview
      • German Bundesliga: Week 31 Preview
      • Hollywoodbets Grocery Promotion
      • COSTA AFUNGA MAWILI, CHELSEA YASHINDA 4-2 ENGLAND
      • SERENGETI BOYS YADHIHIRISHA UBABE KWA GABON
      • HIMID MAO AWATUMIA SALAMU MSIMBAZI; AWAAMBIA...
      • SIMBA WAINGIA KAMBINI MORO KUJIWEKA SAWA NA AZAM
      • Call Out Bet Codes - Soccer Betting
      • MPUTU, GOMAA KUPAMBA UPANGWAJI MAKUNDI MICHUANO YA...
      • YANGA WAIFUATA MBAO FC KWA NDEGE ALHAMISI, TIMU B ...
      • F1: 2017 Russian Grand Prix
      • IPL 2017: Rising Pune Supergiant v Kolkata Knight ...
      • IPL 2017: Royal Challengers Bangalore vs Sunrisers...
      • EPL: Midweek Fixtures
      • EPL: Manchester City v Manchester United Preview
      • Kenilworth Wednesday 26 April 2017 Best Bets
      • BENITEZ AIREJESHA LIGI KUU ENGLAND NEWCASTLE UNITED
      • PUMZIKA KWA AMANI POINTI TATU ZA MEZANI!
      • YANGA WAZINDUA AKAUNTI YA WANACHAMA KUCHANGIA KLAB...
      • IPL 2017: Mumbai Indians vs Rising Pune Supergiant...
      • ARSENAL 2-1 MAN CITY
      • REAL MADRID 2-3 BARCELONA
      • HUYU BINTI NDIYE MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI WA PFA
      • LUCY BRONZE MWANASOKA BORA WA KIKE ENGLAND
      • BECKHAM ATUZWA KWA MCHANGO WAKE KWENYE SOKA YA ENG...
      • DELE ALLI ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI PFA
      • N'GOLO KANTE AKIWA NA MZIGO WA PFA BAADA YA KUWAGA...
      • EFL Championship: Newcastle v Preston Preview
      • Vaal Tuesday 25 April 2017 Best Bets
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » JOHN BOCCO NI MTU HATARI INAPOKUJA AZAM NA SIMBA

JOHN BOCCO NI MTU HATARI INAPOKUJA AZAM NA SIMBA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SIKU mbili zijazo, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa kwenye kibarua kizito kusaka fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) itakapokabiliana na Simba, katika mchezo wa nusu fainali ya michuano hiyo utakofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi ijayo.
Azam FC ambayo inaendelea na maandalizi makali kuelekea mchezo huo ili kuhakikisha inatinga fainali kwa kuichapa Simba, itashuka dimbani katika mechi yake ya 26 ya mashindano yote dhidi ya Wekundu hao.
Lakini hii itakuwa ni mara ya kwanza kihistoria kwa timu hizo kukutana katika michuano hiyo, ambayo ilirejeshwa msimu uliopita kufuatia kukosekana kwa misimu kadhaa.
John Bocco akikimbilia mpira dhidiya beki wa Simba, Method Mwanjali kwenye mchezo wa Ligi Kuu baina ya timu hizo

Kikosi cha Azam FC kipo kwenye hali nzuri kuelekea mchezo huo, na itanufaika na urejeo wa wachezaji wake kadhaa ambao waliokuwa majeruhi jambo ambalo limeongeza morali kikosini na kila mchezaji akiwa na hamu ya kufanya vema kwenye mtanange huo ili kuibeba timu hiyo na kusonga mbele.
Wachezaji wanaorejea ni nahodha John Bocco ‘Adebayor’, mabeki Aggrey Morris, Yakubu Mohammed na kiungo Stephan Kingue, ambao kwa sasa wanaendelea na mazoezi na wenzao na limebakia suala la benchi la ufundi kuthibitisha kwamba wako tayari kwa mapambano au la.
Itakumbukwa kuwa hiyo ndio nafasi pekee iliyobakia kwa mabingwa hao wa Ngao ya Jamii na Kombe la Mapinduzi msimu huu ya kukata tiketi kushiriki michuano ya Afrika mwakani, ambapo ikiingia fainali itakuwa imetanguliza mguu mmoja kwenye kuwania nafasi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika mwakani.
Hadi inaingia fainali, Azam FC ilizitoa Cosmopolitan (3-1), Mtibwa Sugar (1-0) na kwenye robo fainali iliichapa Ndanda mabao 3-1.
Kuelekea mtanange huo, tunakuletea rekodi mbalimbali baina ya timu hizo zilipokutana katika mechi za mashindano mbalimbali huko nyuma.
Rekodi zao
Wakati msimu huu ukielekea ukingoni, tayari timu hizo zimekutana mara tatu na Azam FC ikiwa kifua mbele baada ya kushinda mechi mbili na kupoteza moja, mechi hizo mbili ilizoibuka kidedea ya kwanza ilishinda kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi (1-0) kabla ya kupata ushindi kama huo kwenye Ligi Kuu, huku Simba nayo ikishinda ya mzunguko wa kwanza 1-0.
Hivyo wakati timu hizo zikielekea kucheza kwenye mechi yao ya nne msimu huu, kihistoria zimekutana mara 25 katika michuano mbalimbali huko nyuma, Azam FC ikishinda mara tisa, Simba mara 11 huku ikishuhudiwa mechi tano wakienda sare.
Bocco hashikiki
Bocco ndiye mchezaji pekee hapa nchini kihistoria, ambaye anashikilia rekodi kufunga mabao mengi kwenye mechi za watani wa jadi, kila anapokutana na Simba na Yanga, mpaka sasa akiwa amefunga jumla ya mabao 34.
Katika mchanganuo wa mabao hayo, Bocco ameifunga Simba mabao 19 kwenye mechi mbalimbali walizokutana na Yanga akiitupia 15, rekodi ambayo inamfanya kuwa mchezaji wa kuogopwa kuelekea mtanange huo.
Bocco ambaye ameshafunga bao moja katika michuano hiyo wakati Azam FC ikiichapa Cosmopolitan, tayari amefunga jumla ya mabao 10 kwenye mashindano mbalimbali, nane Ligi Kuu, moja FA Cup na jingine akitupia wakati matajiri hao wakitwaa Ngao ya Jamii mwanzoni mwa msimu kwa kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penalti 4-1 kufuatia sare ya 2-2.
Mshambuliaji kinda Shaaban Idd, ndiye kinara wa kufumania nyavu kwa upande wa Azam FC kwenye michuano hiyo, akiwa ametupia matatu, moja dhidi ya Cosmopolitan na mawili akitupia wakati wakiitoa Ndanda.
Mwingine anayefuatia ni winga Ramadhan Singano ‘Messi’, ambaye ameshafunga mawili kwenye ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na jingine dhidi ya Ndanda, huku Joseph Mahundi naye akiwa na bao moja, alilopachika dhidi ya Cosmopolitan.

Dondoo za mechi zote
1. LIGI KUU MARA 18
-Simba wameshinda 8
-Azam wameshinda 5
-Sare mara 5
2. NGAO YA JAMII MARA 1
-Simba 3-2 Azam FC (2012)
3. MAPINDUZI CUP MARA 3
-Azam 2-0 Simba - 2011 nusu fainali
-Azam 2-2 Simba (pen 5-4) - 2012 nusu fainali
-Azam 1-0 Simba - (2017 fainali)
4. KAGAME CUP MARA 1
-Azam 3-1 Simba - 2012 robo fainali
5. KOMBE LA UJIRANI MWEMA MARA 1
-Simba 2-2 Azam(pen 4-3) - fainali 2012
6. ABC SUPER 8 - MARA 1
-Simba 2-1 Azam - nusu fainali 2012


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2oE5fuC best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang JOHN BOCCO NI MTU HATARI INAPOKUJA AZAM NA SIMBA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/04/john-bocco-ni-mtu-hatari-inapokuja-azam.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 05.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    Our football writer previews the UEFA Champions League matchday three action which kicks off on Tuesday 23 October 2018. Matchday three o...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
Copyright Viral Sports: JOHN BOCCO NI MTU HATARI INAPOKUJA AZAM NA SIMBA