Na Prince Akbar, DARES SALAAM
SERIKALI kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) inatarajiwa kuwakutanisha viongozi wa klabu ya Simba na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kutafuta suluhu baina yao.
Taarifa ya BMT leo iliyosainiwa na Katibu Mkuu wake, Mohammed Kiganja, imesema kwamba, Serikali haifurahishwi na malumbano yanayoendelea baina ya Simba na BMT.
“Kwa vyovyote vile, amani ya nchi ipewe kipaumbel kwa kuhakikisha kila mmoja wetu anaheshimu na kufuata sharia na kanuni ziliopo,”amesem Kiganja.
Rais wa TFF, Jamal Malinzi mwishoni mwa mwaka jana alikutana na viongozi wa Simba, lakini inaonekana haijasaidia
Pamoja na hayo, Kiganja ameagiza kwamba TFF na Simba wazingatie sharia na kanuni katika kudai haki na kutoa haki kwa wakati na amesema ni vyema njia ya mazungumzo ikatumika badala ya kulumbana kwenye vyombo vya habari, jambo ambalo linaweza kuwachanganya mashabiki na linaweza kuhatarisha amani.
Kiganja amesema watazikutanisha pande zote mbili ili kutafuta suluhu ya kudumu baada ya malalamiko ya Simba kutosikilizwa na TFF katika madai na malalamiko yake mengi kwa muda mrefu.
Tamko hili la BMT linafuatia viongozi wa Simba, wakiongozwa na Rais wake, Evans Aveva kukutana na Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe leo mjini Dodoma.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2p3vN5m
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms