KIPA wa klabu ya MC Alger ya Algeria, Faouzi Chaouchi juzi alihukumiwa kifungo cha miezi sita jela baada ya kukutwa na hatia ya kumshambulia askari Polisi.
Chaouch alidaka kwa dakika zote 90, Yanga ikiifunga 1-0 MC Alger Jumamosi iliyopita Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho.
Chaouchi mwenye umri wa miaka 32, kipa wa zamani wa timu ya taifa amehukumiwa kwa kumpiga askari Polisi aliyekuwa anatafuta wachezaji kwenye mechi mjini Algiers Februari 7.
Kituo cha Televisheni binafsi cha Echorouk kimeripoti kwamba mahakama katika wilaya ya Bir Mourad Rais mjini Algiers pia ilimtaka mchezaji huyo kulipa faini ya dinars, sawa na dola za Kimarekani 450.
Mchezaji huyo alikuwa shujaa wa ushindi wa mechi ya mchujo dhidi ya Misri amnbao uliipeleka Algeria Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010 Afrika Kusini.
Faouzi Chaouchi juzi alihukumiwa kifungo cha miezi sita jela baada ya kukutwa na hatia ya kumshambulia askari Polisi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2oC7f54
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms