KIPA wa kwanza wa Uganda Cranes, Denis Onyango ameteuliwa kuwa Nahodha mpya wa timu hiyo kufuatia kustaafu kwa Geoffrey Massa Jumatano iliyopita.
Kocha wa Uganda, Milutin ‘Micho’ Sredojevic amesema kwamba uzoefu na hekima za Onyango ndizo zimemfanya ampe uongozi wa wachezaji wenzake katika timu.
“Onyango atakuwa Nahodha mpya wa Uganda Cranes kwa sababu ya uzoefu wake, utu uzima, tabia, uongozi na vigezo vingine vyote,” alisema Micho.
Kipa huyo wa Mamelodi Sundowns alipewa kitambaa katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Ghana mjini Tamale Oktoba mwaka jana na akaisaidia Cranes kupata sare ya ugenini dhidi ya kikosi imatra cha Black Stars.
Denis Onyango ndiye Nahodha mpya wa Uganda baada ya Geoffrey Massa kustaafu Jumatano iliyopita
Onyango atasaidiwa na mchezaji mwingine mzoefu, Hassan Wasswa ambaye alikuwa Nahodha wa Cranes dhdi ya Mali nchini Uganda kwenye mchezo wa Kundi D Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 mjini Oyem, Gabon baada ya Massa kuanzia benchi na katika mchezo wa kirafiki wa sare na Kenya mjini Machakos.
Onyango alikuwa mwaka mzuri uliopita, akiiwezesha Uganda kufuzu Afcon 2017 baada ya miaka 39 na kuipa Mamelodi mataji matatu likiwemo la Ligi ya Mabingwa Afrika, Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini na Kombe la Telkom.
Kutokana na mafanikio hayo, haikuwa ajabu Onyango akashinda tuzo ya Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika, akiweka rekodi ya kuwa kipa wa kwanza kushinda hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2nMEwrU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ONYANGO NAHODHA MPYA UGANDA CRANES BAADA YA MASSA KUSTAAFU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/04/onyango-nahodha-mpya-uganda-cranes.html. Terimakasih atas perhatiannya.