VIKOSI vinane vitakavyoshiriki michuano ya 12 Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 nchini Gabon 2017 vimetajwa.
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Mei 14 hadi 28 mwaka huu katika miji ya Libreville na Franceville nchini na kila timu itakuwa na wachezaji 21 kikosini.
Timu nane zimegawanywa katika makundi mawili, A likiundwa na wenyeji Gabon, Guinea, Cameroon na Ghana na B likiundwa na Mali, Tanzania, Angola na Niger.
Timu mbili za juu katika kila kundi zitafzufu moja kwa moja Fainali za Kombe la Dunia, ambazo zitafanyika nchini India kuanzia Oktoba 6 hadi 28, mwaka huu.
Awali, michuano hiyo ilikuwa ifanyike nchini Madagascar kuanzia Aprili 2 hadi 16, mwaka huu, lakini Kamati ya Utendahji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) chini ya Rais wa zamani, Mcameroon Issa Hayatou ikaipokonya uenyeji nchi hiyo Januari 12 baada ya taarifa za wakaguzi.
Na Februari 3, mwaka huu, Gabon wakapewa uenyeji wa fainali hizo. Hivyo Gabon wakachukua nafasi ya Madagascar na Tanzania ikachukua nafasi ya Kongo iliyoenguliwa kwa kutumia mchezaji aliyezidi umri.
Mali nayo iliondolewa baada ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kuifungia nchi hiyo kufuatia Serikali yake kuwafukzua madarakani viongozi wa chama cha soka na Ethiopia wakapewa nafasi, kabla ya kurejeshwa kufuatia kuwarudisha viongozi hao.
GONGA JINA LA NCHI KUTAZAMA KIKOSI CHAKE
Kundi A
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2r160LL
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CAF YATAJA VIKOSI VYA FAINALI ZA U-17 GABON 2017. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/05/caf-yataja-vikosi-vya-fainali-za-u-17.html. Terimakasih atas perhatiannya.