Beki wa kulia Mbrazil, Dani Alaves akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Juventus bao la pili dakika ya 44 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Monaco usiku wa Jumanne kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Juventus mjini Torino. Bao la kwanza la Juve lilifungwa na Mario Mandzukic dakika ya 33 wakati la Monaco limefungwa na Kylian Mbappe dakika ya 69 na kwa matokeo hayo Kibibi Kizee cha Turin kinakwenda fainali itakayopigwa mjini Cardiff kwa ushindi wa jumla wa 4-1, baada ya wiki iliyopita kushinda 2-0 Ufaransa na itapambana na mshindi wa jumla kati ya Real Maedrid na Atletico Madrid, zote za Hispania. Timu hizo zitarudiana kesho Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid baada ya mchezo wa kwanza Real Madrird kushinda 3-0 Uwanja wa Bernabeu, mabao yote akifunga Cruistiano Ronaldo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2pZMTmx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang JUVE YATANGULIA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA,. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/05/juve-yatangulia-fainali-ligi-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.